Usimuonee huruma Mwanamke

πŸ˜€πŸ˜€

Usisahau kuwafundisha utofauti wa upendo na huruma.

Wasijewakaolewa au kuoa Kwa kuhurumiwaπŸ˜‚πŸ˜‚
Badala ya kuolewa au kuoa Kwa KupendaπŸ˜‰
 
... cheap way out ni kuwaita watu Feminists, afadhali hata angesema Mwingine/ID nyingine...sio wewe uliyekuwa unaandika mashudu yako kule kwenye topic ya mkuu @Unpaid Seller???
 
Hi comment inathibitisha maneno ya mtoa mada kuwa "Usiwe na huruma Kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma Kwa wale watu wasiowapenda"
Hakika mwanamke anaetaka kuonewa huruma na mwanaume tambua fika kuwa huyo mwanamke hana mapenzi na mwanaume.
 
πŸ˜€πŸ˜€

Usisahau kuwafundisha utofauti wa upendo na huruma.

Wasijewakaolewa au kuoa Kwa kuhurumiwaπŸ˜‚πŸ˜‚
Badala ya kuolewa au kuoa Kwa KupendaπŸ˜‰
Nishakwambia,upendo na huruma sio kitu cha kwenda ku dig maktaba, hata mtoto aliyezaliwa leo anajua ..hivi vitu naturally...

Yaani Uoe kwa kumpenda mtu halafu mtu huyo huyo useme humuhurumiii?!..haimake sense...
 
... cheap way out ni kuwaita watu Feminists, afadhali hata angesema Mwingine/ID nyingine...sio wewe uliyekuwa unaandika mashudu yako kule kwenye topic ya mkuu @Unpaid Seller???
Hahaaaaaa!!!! Imekuchoma hiyo!!! Yaani mambo unayoyaandika huwa yanachosha hadi macho na ubongo kuyasoma!! . Wanawake dizaini yako huwa ni ngumu sana kuolewa na kudumu kwenye ndoa kutokana na ubishi na ujuaji.
 
Nishakwambia,upendo na huruma sio kitu cha kwenda ku dig maktaba, hata mtoto aliyezaliwa leo anajua ..hivi vitu naturally...

Yaani Uoe kwa kumpenda mtu halafu mtu huyo huyo useme humuhurumiii?!..haimake sense...

Unataka uolewe Kwa kupendwa au kuonewa huruma?
 
Walishasema mwanamke Ni chombo Cha starehe, Sasa hizo huruma tunajitakia wenyewe wanaume.
 
hahahahahahahaahha unaniambia mimi sielewi, inaelekea una comprehension na wewe inasoma -VE....kama humuonei huruma mtu, au humpendi mtu unampa pole ya nini????? au kama pole sio sign ya huruma, mtu akikupa Nyoko umetoka kazini utai interpret vipi???..jaribu kuweka kwenye mizani, Pole na Nyoko baada ya kazini, halafu utajua lipi linamaanisha huruma/upendo...

Usinifundishe mimi kuhusu wajibu,upendo na huruma, nachojua mimi Upendo na Huruma ni kitu hicho hicho na wajibu ni kitu tofauti,..wewe ndio ujifunze zaidi kuhusu, hivi vitu maana vinakuchanganya....na kuchanganyikiwa kwako unataka uwachanganye wengine..

Unaandika mashudu, huruma ina features za upendo halafu bado unasema hivi ni vitu tofauti...

Huruma ni Forgiveness yes i agree,ila huwezi ukamforgive mtu kama huna Upendo...

Usinipangie cha kufanya, kakojoe ukalale,ukiamka ukitaka tuendelee sawa,,,usipotaka pia sawa,...kazi uliyotumwa imebounce,na ukijaribu kuiendeleza..ita bounce pia!
 
Hahaaaaaa!!!! Imekuchoma hiyo!!! Yaani mambo unayoyaandika huwa yanachosha hadi macho na ubongo kuyasoma!! . Wanawake dizaini yako huwa ni ngumu sana kuolewa na kudumu kwenye ndoa kutokana na ubishi na ujuaji.
wewe je unayetukana na kuwaita watu Feminists,maneno yako ndio yako interesting?!....leo hutumii ..' Maandiko' kuprove dizaini yangu hatudumu kwenye ndoa..hahahahahahahahahahahah.....
 
Unafikiri nipo hapa kumfundisha mbwa Mzee Kubweka?
 
wewe je unayetukana na kuwaita watu Feminists,maneno yako ndio yako interesting?!....leo hutumii ..' Maandiko' kuprove dizaini yangu hatudumu kwenye ndoa..hahahahahahahahahahahah.....

Methali 21:19​

"Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu."

Yaani hapo tunaambiwa ni bora ya dhiki ya kuishi jangwani pasipo na maji ,kivuli wala chakula kuliko kuishi na mwanamke mbishi,mbinafsi,mjuaji ,asiye na shukrani.

Nampa pole sana mwanaume atakaekubali kukuoa /kuishi na wewe!!
 
Mnhhhh eti unaweza kumuhurumia mtu hata kama humpendi....kabisaaa...???..how...??????

again, how?, how???.

stop this Upendo ni haki, huruma ni Neema,,,,no matter how you try to diffrentiate.Upendo na Huruma .hiki ni kitu kimoja....labda utoe kwa mifano, kwa faida ya Rebeca na wote wanaofatilia mjadala huu, unamaanisha nini unaposema Upendo ni Haki na Huruma ni Neema.....
 
Kufanya wajibu wako ni kumuonea mtu huruma?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ni Sawa mumeo anakuhudumia Kwa kukuvisha nguo nzuri ATI aseme anakuonea huruma,

Ndio maana nikakuambia Tafuta maana ya huruma ndio uje hapa.
Hiyo inaitwa Kujali na kuthamini.
Mwambie bidada je mwanaume anapo provide kwa mwanamke ikiwa huyo mwanamke pia ana kazi yake na maisha yake inakuaje ni huruma?
 
Hahahahahhaahhha, nimekwambia tumia Maandiko ku prove mimi Rebecca siwezi kudumu kwenye ndoa,.....comprehension -VE inasoma, ....

Nakusubiri...
 
Sikatai mtu akiamua kumuita Paka kuwa ni Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…