Usimruhusu nasema usimruhusu

Usimruhusu nasema usimruhusu

Sasa sisi wanaume wapole tufanyeje

There is bo such thing as mwanaume mpole. Ila mwanaume mkimya
Upole unachukuliwa kama advantage ya kukuvuruga.
Kuwa mpole but man of action, less word more action, onya tumia nguvu if possible. Utaheshimika or else utachukuliwa poa
 
We jamaa una akili timamu, kwahiyo demu wako hujamuoa umpige kabisa???
Siyo lazima umpige cheza na akili yake pale anapokukosea. Kwani mtu ukiwa na mchumba au dem unamwacha Aishi free anavyotaka yeye ? Akikutukana unachukua hatua gani ? Akikudharau unachukua hatua gani ?
 
Na mbususu nayo sii wanaharibu wakiwa wanatoka
Ila asilimia kubwa ya wanawake wakizaa kwa namna yoyote wanapoteza uzuri ule wa awali, ila baadae wana rejuvenate.

Ila lazima uache uzao mkuu, usikimbie agizo la Mungu, nendeni mkaijaze dunia
 
Ila asilimia kubwa ya wanawake wakizaa kwa namna yoyote wanapoteza uzuri ule wa awali, ila baadae wana rejuvenate.

Ila lazima uache uzao mkuu, usikimbie agizo la Mungu, nendeni mkaijaze dunia
Hapana mzeya mie na watoto vitu viwili tofauti. Kwa kupenda mbususu huku nitawatesa tuu. Wacha nijifie na mbususu nazozipenda
 
Siyo lazima umpige cheza na akili yake pale anapokukosea. Kwani mtu ukiwa na mchumba au dem unamwacha Aishi free anavyotaka yeye ? Akikutukana unachukua hatua gani ? Akikudharau unachukua hatua gani ?

Am not a fan wa kupiga but kuna ambao ni kichwa kigumu, kichwa nazi . Yaan yeye anajua huwez lolote. Kofi moja au mawili yanarekebisha akili. Otherwise atakupanda mpaka akili ikae sawa
 
Wabeijing wazee 50:50. Umkate kofi mbeijing, anaita mawakili wake siku hiyo hiyo. Tunawakataga makofi ya "matter core " wakati wa kuwagegeda😁
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom