Usimruhusu nasema usimruhusu

Usimruhusu nasema usimruhusu

Huo ni unabii yaani ni fumbo , wanawake ni makanisa au madhehebu , mwanaume ni Yule wanayemwabudu , yaani kuna nyakati sjajua kama ni hzi au zinakuja , makanisa yataomba tuu kuitwa Kwa jina la (kikristo) Ila namna ya ibada zao ni tofaut ya na ukristo Yani kuna nguvu za Giza ,
Eeh kumbe sio mambk ya minyanduano😲😲😲😲
 
Ona uyu alivyo shtuka utafikiri K unayo peke ako uchukue pesa tu kmmk
Kama mbwai na iwe mbwai
IMG_20230224_101743.jpg
IMG_20230224_100914.jpg
IMG_20230224_101149.jpg
 
Usimruhusu au kuendekeza mwanamke akutendee mambo haya

1 Kukujibu atakavyotaka au atakavyojiskia.Pindi utakavyokaa kimya au kumpotezea atafanya iwe tabia yake na atakudharau. Zaba Makofi kama huwezi kemea Fanya chochote ilimradi asirudie Hilo kosa.

2 Akupandishie sauti hata chembe yaA sauti :Tena hapa nakuruhusu mwanaume zaba Makofi piga asije akaonesha hii hali Tena.Utakapojikuta much know ukajifanya unajua kubembeleza utayaona yatakayokupata na dharau utakazozipata.

3 Akuharibie ratiba Yako ya kazi. Kama umepanga ratiba Yako kwamba kesho nafanya Hichi mwanamke asiwe chanzo Cha kukulaghai kusema kwamba abadilishe ratiba Yako.Ukifanya hivyo atajiona yeye ni wa muhimu kuliko kazi hiyo na atajiona anakuweza mwisho wa siku ataanza kukuona wa kawaida.

4 Akuamrishe.Ni kosa kubwa sana baadaye ataanza kukuona zuzu.Mwanamume ndiye anatakiwa amuamrishe Mwanamke.

5 Agomee kutekeleza uliyomuamrisha.Usiruhusu hili jambo litokee kabisa . Inatakiwa ukisema kitu iwe Kwa mwanamke "Ndiyo nitafanya".Akionesha kibri kukataa amri zako ni bora umuache wapo wanawake wanaotafuta ndoa wengi wapo tayari kufuata amri.

6 Akuambie umsaidie kufanya kazi za nyumba zinazomhusu yeye.Eti ni mapenzi wengine wanadai hahaha pindi utakapokubali atakushusha dhamani na siku nyingine atakauambia washa ,au nisaidie kupika taratibu unaanza kuwa mwanamke na hapo ndipo dharau zitakapoanza.

7 Awe na marafiki wa kiume ;Hakuna urafiki Kati ya mwanaume na mwanamke nashangaa Sana unamruhusuje mwanamke wako kuwachekea chekea wanaume ovyoovyo wakipata upenyo walahi lazima ugongewe.

8 Akufananishe na mwanaume mwingine sijui mbona haupo kama naniliu.Ni Bora atumie njia nyingine kuwasilisha ujumbe anaoutaka kuliko kuongea maneno ya kipuuzi kama haya mkemee usimchekee.

9 Awe mvivu kamwe usimruhusu atakuja kuwa mzigo kwako kipindi ndoa inapoanza hakikisha unadeal naye SAWA SAWA ajue kwamba hapa moto utawaka mtu Fulani akiona sijaamka muda ,sijapika muda Fulani ,sijafanya Hichi au kile.

10 Anjionee kwamba yeye ni mwanamke wa pekee katika maisha Yako .Ibua matukio yatakayofanya awe na wivu juu Yako.


11.Adharau familia yako au ajione ana dhamani Sana kuliko ndugu zako pamoja na Baba na mama.Akionesha hali hii mfanyie matukio ya kumshushia utu na dhamani yake na kumrudisha kwenye hali yake ya kawaida akiwa na akili timamu.

12.Ajionee ni WA dhamani Sana.Utamtia kiburi hata kama ni mzuri vipi mchukulie na mtreat kama wa Kawaida asije akajawa na kiburi na kukupanda kichwani.

Sina la ziada yapo mengi Sana hayo ni baadhi tu

Hii knowledge ni ya kuwafundisha vijana wadogo wanaozaliwa kipindi hiki. Laxima wasimame kwenye nafasi zao bila kuendeshwa otherwise vilio vitakuwa vingi
 
Hii knowledge ni ya kuwafundisha vijana wadogo wanaozaliwa kipindi hiki. Laxima wasimame kwenye nafasi zao bila kuendeshwa otherwise vilio vitakuwa vingi
Nashangaa Sana kuona Vijana Kutwa kuwalilia Hawa wanawake wanashushwa dhamani BIla kujua. Mtu anakujibu text baada ya masaa mawili wewe mjibu baada ya masaa tano.
 
Back
Top Bottom