Usimrudie Mwanamke aliye-cheat , Never!

Hivi Vitu Ukiweka Maanani Sana Maisha Yako Yatakuwa Mafupi Sana.Life is Short Wekeza Kwenye Kizazi Chako Ukichapiwa na we e mtafute mnyonge wako Mchapie
 
Unajifariji tuu baada ya mtu wako kuliwa.
Hata bibilia imesema mwanamke mzinzi achana nae.
 
Kuna age lazima cheat cheat cheat
Men wanaongoza, kikubwa hawabainiki kirahisi ---- especially wale waliosoma Cuba na wanaohudhuria vikao vyaoo
 
Kosa la mwanamke kucheat huwa halisamehewi, labda uwe mwanaume mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…