Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,907
- 25,927
Kumbuka mechi ya ugenini timu alikwa inapiga show ya kibabe na wewe kwakuwa unakuwa uwanja wa nyumbani unacheza kawaida kwakuwa una uhakika wa uko nayo kila siku, huoni atakuwa anakumbukia mechi ya ugenini?Haya mambo hayana mbabe....siku nikipenda rasmi akinicheat namuogesha narudi naye home maisha yanaendelea😁
Samehe mara saba sabini!Nikigundua mke ametoka nje ya ndoa
, habari nae imeisha
We omba mungu usigundue jambo, ila kiukweli hakuna asiye cheat.Nikigundua mke ametoka nje ya ndoa
, habari nae imeisha
Yani unataka kunijumuisha hata mimi kuwa nina cheat? Hapana, wengine tumeridhika na "mjegede" mmoja.We omba mungu usigundue jambo, ila kiukweli hakuna asiye cheat.
Hakuna mkamilifu.Msaliti hasamehewi
Hivi kuna Mwanaume mzima, ana afya na anapesa Hana mchepuko????Msaliti hasamehewi
Sasa bw. Jaji we upo upande gani mbona kama unakinzana na mada yako mkuu?Hakuna mkamilifu.
Inawezekana sikubishii, maana sijawahi ona malaika., na vitabu vinasema tupo nao humu humu duniani.Yani unataka kunijumuisha hata mimi kuwa nina cheat? Hapana, wengine tumeridhika na "mjegede" mmoja.
Sijui kuhusu wengine ns siwezi kuwasemea ila binafsi yangu jibu ni kwamba nachepuka 😅Hivi kuna Mwanaume mzima, ana afya na anapesa Hana mchepuko????
Kuwa honestly mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏
Inawezekana sikubishii, maana sijawahi ona malaika., na vitabu vinasema tupo nao humu humu duniani.Yani unataka kunijumuisha hata mimi kuwa nina cheat? Hapana, wengine tumeridhika na "mjegede" mmoja.
View attachment 3067605
Kwa wanaume wote, hii Kauli ya "Never go back to the woman who cheated on you" ni rahisi sana ikiwa kwa Mwenzako, ila isiwe kwako, ni ngumu ,mno.
Kwenye mahusiano as a man ,unatakiwa uwe mbinafsi (ufikirie wewe na future ya familia yako) hakuna mwanamke ana cheat kwa bahati mbaya, kabla hujamsamehe kumbuka wakati analiwa ilichomoka na akairudishia mwenyewe. Kumbuka kuna wakati jamaa alikuwa amechoka anachomoa mkeo anamwambia ingiza hapo hapo.
Ukikubali Kurudi Kwa Mwanamke aliyekusaliti ni sawa na kumpa Fisi akutangazie Injili ya Mifupa. Ataku-cheat tena na tena.
Wakati unajipanga kurudi kumbuka!
1 :She bj him
2: She asked him to have no mercy on her "punani" "nyau"
3: It's slipped and she put it back while holding his waist.
4: She daaah !!! brother nimeishiwa nguvu kiufupi kuliko urudi ukawe fala mara mia bora ukajipige selfie na sabuni ya kipande.
Yaan umemkuta mke wako/mwanamke wako analombwa hapo kesho unamsamehe? Hapo mm labda yeye ndio awe kanioa labda. Kwanza mwanamke mpk anaamua kukucheat ujue ww kuna shida pahali, na hapo ujue kashapambana sana kujizuia lakini hisia zimeishinda Akili.
"kwanza mwanamke mpaka anaamua kukucheat ujue wewe Kuna shida pahali" Kuna kitu bado hujafundishwa hapa dunian.
NA HATUKWAMBII MPAKA KIKUKUTE
Ukiona watu wapo kwenye karandinga ya magereza sio bure inakuaga ni mambo kama Haya hayaKumbuka mechi ya ugenini timu alikwa inapiga show ya kibabe na wewe kwakuwa unakuwa uwanja wa nyumbani unacheza kawaida kwakuwa una uhakika wa uko nayo kila siku, huoni atakuwa anakumbukia mechi ya ugenini?
kute alilamba "pipi kijiti" na akameza icing sugar, wewe hujawai kumpa "pipi" unafikiri ataaha kuifuata siku nyingine?
Duuh yani nomfanie mwanamke halafu ndo norudiane nae?Ikifikia kipindi ukamfumania mkeo na ukaongea nae mkayamaliza na maisha yakeendelea hapo ndiyo unakuwa na hadhi ya kuitwa Mwanaume, Ila ukamfumania na kumuacha wewe bado ni mvulana au kijana bila kujali Una umri gani
Mwanaume kabla ya. Kufanya maamuzi hufikiria Kwanza familia yake na watoto wake itakuwaje
Mwanaume hujiuliza Hana mchepuko au aliwahi kuchepuka na mkewe hakujua ana haki ya kumuacha mwenzie kisa kajua????
Kila Mwanamke kama hukukuta kufuli jua yupo aliyekutangulia, halafu ni mentality Tu ndiyo inafanya hivyo Ila kiukweli ni kitu cha kawaida Sana na wala hakipunguzi kitu wala hakiongezi kitu, kitu pekee Chenye afya kwako ni furaha, tafuta pesa za kutosha wanawake wapo wengi na mkeo Baki nae maisha yasonge watoto walelewe na Baba na mama