Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,698
- 12,425
Habari zenu,
Kumekuwa na kasumba ya wanawake kuomba hela kwa kigezo cha kuumwa au kuomba hela kununua Dawa.
Ewe Mwanaume mwenzangu nakuhisia! usijaribu na wala usitume muamala mpaka pale mtakapoongozana na kwenda hospital kumpima ili ujue kama anaumwa kweli au lah!
Wanawake wengi wamekuwa wanatuibia na kutufirisi kwa kigezo cha kuumwa na kuomba hela za Dawa.
KAULI MBINU : USITUME HELA ONGOZANA NAE HOSPITAL.