Usimnyang'anye mwanamke mtoto

Hilo nimeshaeleza, ukitaka mwanao mshawishi mwanamke akupe,
Mbona uliweza kumshawishi akakuvulie mpaka akazaa, usije niambie ulimbaka.

Uwezo uleule uliotumia kumzalisha basi utumie kuomba mtoto.
Akikataa, achana naye
Ni kweli,inapotokea kutengana swala la kumpata mtoto/watoto halihitaji kutumia nguvu sana,kinachotakiwa ni ushawishi.Mwanamke mara nyingi anachohitaji ni kumhakikishia security ya mtoto,ukifanikiwa hili kuliweka vizuri huwa wanakuwa wapole....
 
Ni kweli,inapotokea kutengana swala la kumpata mtoto/watoto halihitaji kutumia nguvu sana,kinachotakiwa ni ushawishi.Mwanamke mara nyingi anachohitaji ni kumhakikishia security ya mtoto,ukifanikiwa hili kuliweka vizuri huwa wanakuwa wapole....

Ni kweli Kabisa.

Ingawaje wanawake hupenda ligi za hapa na pale na Wanaume
 
Mtoto wangu si wewe, sema umekuwa mpuuzi sana
Ungekuwa na mtoto usingekuwa na mitazamo ya kitoto Kama yako......ukizaa na mwanamke kubaliana na akili jinsi itakavyokuwa lakn sio kufanya mambo eti unamkomoa mwanamke kumbe anayeumia ni mtoto asiye na makosa
 
Kwa hizo lugha huo utakuwa sio ugomvi na hapo mtaishia kurudiana..

Kwenye ugomvi ndugu ndio watakuwa katikati hakuna kuongea ana kwa ana unless unataka Suluhu.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nikiandikaga vile kuna watu nawachokoza hasa wapumbavu najua hawapendagi kuambiwa ukweli. Na Ukiwaambia wanataka uwalambelambe Kama vitoto vya Paka.

Hapo ndipo naamua kurusha makombora ili kuwaibua HAO mazombi
Mkuu una miaka mingapi!!? Pm kama hutojali!!
 
Ukimchukua mtoto kwa mwanamke unakuwa umemuumiza sana.Japo watoto wanaolelewa na wakina mama huwa na shida kadha wa kadha

mi nasemaga lkn watu hawaelewi, nikijaribu ku emagine mtu kuninyang'anya watoto wangu najiona kabisa jinsi nitakavyovurugwa na jinsi sitakubali. Furaha ya mwanamke aliyezaa ni watoto wake, hata ukikumbuka maumivu na mateso uliyopitia labour/theatre unapata faraja kwa kuona ni ya thamani kwa kuwaona watoto, wanaume hawajui dhoruba tunazopitia kipindi cha kujiandaa kuleta kiumbe duniani, kuna wengine hadi wanapoteza maisha, wengine husign their lifes ili kuruhusu mtoto aje duniani( wale wa cs). Jamani usimnyang'anye mama mtoto wake labda yeye aamue kukupa kwa hiari yake.
 

kwa hiyo wewe hutaoa, kwamba watoto hawana haki ya kuchagua nani awe baba yao lkn wana haki ya kuchaguliwa na wewe nani awe mama yako pindi wewe utakapoooa!![emoji15][emoji15][emoji15] mtoto ni wa mama!!
 
Wewe inaelekea huna hata mtoto wa kusingiziwa ndo maana unasema hivyo....

si sawa kumnyany'anya mtoto mwanamke wewe sio mwanamke ndio maana unasema hivyo kwasbb hujui maumivu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…