Palac JF-Expert Member Joined Mar 29, 2025 Posts 592 Reaction score 1,496 Jun 8, 2025 #1 Wakuuuu habari za mida ikiwa ni weekend tulivu kabisa Kwa heshima naandika hapa nilimkopa mke WA MTU pesa sahizi nimeitwa kwa mwenyeketi Nina kesi ya kujibu
Wakuuuu habari za mida ikiwa ni weekend tulivu kabisa Kwa heshima naandika hapa nilimkopa mke WA MTU pesa sahizi nimeitwa kwa mwenyeketi Nina kesi ya kujibu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,303 Jun 8, 2025 #3 Hasara
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,322 Reaction score 89,498 Jun 8, 2025 #4 Ebu, ulimkopesha ukampa au yeye ndio alikupa.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,813 Jun 8, 2025 #5 Ukajibu nini
PSL god JF-Expert Member Joined Nov 18, 2023 Posts 12,575 Reaction score 9,155 Jun 8, 2025 #6 Huna akili
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,134 Reaction score 6,419 Jun 8, 2025 #7 Mad Max said: Ebu, ulimkopesha ukampa au yeye ndio alikupa. Click to expand... YUKO CHINI YA ULINZI KWA MWENYEKITI.Hajui anadaiau anadaiwa......
Mad Max said: Ebu, ulimkopesha ukampa au yeye ndio alikupa. Click to expand... YUKO CHINI YA ULINZI KWA MWENYEKITI.Hajui anadaiau anadaiwa......
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,117 Reaction score 165,377 Jun 8, 2025 #8 Tumefanyaje kwani.....
Palac JF-Expert Member Joined Mar 29, 2025 Posts 592 Reaction score 1,496 Jun 8, 2025 Thread starter #9 Mad Max said: Ebu, ulimkopesha ukampa au yeye ndio alikupa. Click to expand... Nilimpa pesa ujue hiii mchezo ya kina mama hii mtu anauwezo WA kupata elfu mbili kwa siku ila anacheza mchezo WA elfu kumi kila siku
Mad Max said: Ebu, ulimkopesha ukampa au yeye ndio alikupa. Click to expand... Nilimpa pesa ujue hiii mchezo ya kina mama hii mtu anauwezo WA kupata elfu mbili kwa siku ila anacheza mchezo WA elfu kumi kila siku
Palac JF-Expert Member Joined Mar 29, 2025 Posts 592 Reaction score 1,496 Jun 8, 2025 Thread starter #10 Mad Max said: Ebu, ulimkopesha ukampa au yeye ndio alikupa. Click to expand... Nilimpa pesa ujue hiii mchezo ya kina mama hii mtu anauwezo WA kupata elfu mbili kwa siku ila anacheza mchezo WA elfu kumi k Chumchang Changchum said: YUKO CHINI YA ULINZI KWA MWENYEKITI.Hajui anadaiau anadaiwa...... Click to expand... Mkuu nadai lakini nishakua mnyonge manake sasa hapa nilipanga me ndo sina mke pekee angu
Mad Max said: Ebu, ulimkopesha ukampa au yeye ndio alikupa. Click to expand... Nilimpa pesa ujue hiii mchezo ya kina mama hii mtu anauwezo WA kupata elfu mbili kwa siku ila anacheza mchezo WA elfu kumi k Chumchang Changchum said: YUKO CHINI YA ULINZI KWA MWENYEKITI.Hajui anadaiau anadaiwa...... Click to expand... Mkuu nadai lakini nishakua mnyonge manake sasa hapa nilipanga me ndo sina mke pekee angu
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,322 Reaction score 89,498 Jun 8, 2025 #11 Palac said: Nilimpa pesa ujue hiii mchezo ya kina mama hii mtu anauwezo WA kupata elfu mbili kwa siku ila anacheza mchezo WA elfu kumi kila siku Click to expand... Tatizo ulivomdai si ndio. Pole mkuu.
Palac said: Nilimpa pesa ujue hiii mchezo ya kina mama hii mtu anauwezo WA kupata elfu mbili kwa siku ila anacheza mchezo WA elfu kumi kila siku Click to expand... Tatizo ulivomdai si ndio. Pole mkuu.
Palac JF-Expert Member Joined Mar 29, 2025 Posts 592 Reaction score 1,496 Jun 8, 2025 Thread starter #12 Mad Max said: Tatizo ulivomdai si ndio. Pole mkuu. Click to expand... Tatizo kudai Tu mume wake kaniuliza namkopesha mke wake kwa sababu ipi pasina kumpa yeye taarifa au nilikua namzguka
Mad Max said: Tatizo ulivomdai si ndio. Pole mkuu. Click to expand... Tatizo kudai Tu mume wake kaniuliza namkopesha mke wake kwa sababu ipi pasina kumpa yeye taarifa au nilikua namzguka
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,322 Reaction score 89,498 Jun 8, 2025 #13 Palac said: Tatizo kudai Tu mume wake kaniuliza namkopesha mke wake kwa sababu ipi pasina kumpa yeye taarifa au nilikua namzguka Click to expand... Sasa hapo huna cha kujibu. Ila pole, ongea na mshikaji kiume, mke anauma
Palac said: Tatizo kudai Tu mume wake kaniuliza namkopesha mke wake kwa sababu ipi pasina kumpa yeye taarifa au nilikua namzguka Click to expand... Sasa hapo huna cha kujibu. Ila pole, ongea na mshikaji kiume, mke anauma
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,134 Reaction score 6,419 Jun 8, 2025 #14 Palac said: Nilimpa pesa ujue hiii mchezo ya kina mama hii mtu anauwezo WA kupata elfu mbili kwa siku ila anacheza mchezo WA elfu kumi k Mkuu nadai lakini nishakua mnyonge manake sasa hapa nilipanga me ndo sina mke pekee angu Click to expand... Tulia andika vizuri.....Nikukumbushe tuu,Mke wa mtu sumu.
Palac said: Nilimpa pesa ujue hiii mchezo ya kina mama hii mtu anauwezo WA kupata elfu mbili kwa siku ila anacheza mchezo WA elfu kumi k Mkuu nadai lakini nishakua mnyonge manake sasa hapa nilipanga me ndo sina mke pekee angu Click to expand... Tulia andika vizuri.....Nikukumbushe tuu,Mke wa mtu sumu.
Gunst JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 3,142 Reaction score 6,032 Jun 8, 2025 #15 Kwahiyo ulitarajia marejesho yawe ni pesa? Ndo maana umeburuzwa kwa m/kiti kwakuwa hujui kujiongeza
Palac JF-Expert Member Joined Mar 29, 2025 Posts 592 Reaction score 1,496 Jun 8, 2025 Thread starter #16 Mad Max said: Sasa hapo huna cha kujibu. Ila pole, ongea na mshikaji kiume, mke anauma Click to expand... Mshikaji analaumu Sana mkuuu
Mad Max said: Sasa hapo huna cha kujibu. Ila pole, ongea na mshikaji kiume, mke anauma Click to expand... Mshikaji analaumu Sana mkuuu
Palac JF-Expert Member Joined Mar 29, 2025 Posts 592 Reaction score 1,496 Jun 8, 2025 Thread starter #17 Gunst said: Kwahiyo ulitarajia marejesho yawe ni pesa? Ndo maana umeburuzwa kwa m/kiti kwakuwa hujui kujiongeza Click to expand... Eeeh nilihitaji pesa yangu kwakua umekua nje ya makubaliano ya muda tayari na sijaweka riba wala nini
Gunst said: Kwahiyo ulitarajia marejesho yawe ni pesa? Ndo maana umeburuzwa kwa m/kiti kwakuwa hujui kujiongeza Click to expand... Eeeh nilihitaji pesa yangu kwakua umekua nje ya makubaliano ya muda tayari na sijaweka riba wala nini
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,797 Reaction score 86,566 Jun 8, 2025 #18 Evelyn Salt said: Tumefanyaje kwani..... Click to expand... bro kumbe umeolewa...?🤣
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,193 Reaction score 4,305 Jun 8, 2025 #19 angalia usijepewa kesi ya ugoni aka fumanizi la kupangwa.
Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 5,096 Reaction score 8,811 Jun 8, 2025 #20 Nilimkopesa miezi miwili nyuma ,pesa yake ya mshahara imeingia mwezi uliopita nimeiona kabisa ...Ananiambia kuna harusi ya jirani niache nikachangie maana walichangia ya kwangu so nisubirie😂😂...Nimeona ni ujinga bora nimpe tu
Nilimkopesa miezi miwili nyuma ,pesa yake ya mshahara imeingia mwezi uliopita nimeiona kabisa ...Ananiambia kuna harusi ya jirani niache nikachangie maana walichangia ya kwangu so nisubirie😂😂...Nimeona ni ujinga bora nimpe tu