Usimfanye ajute.

Usimfanye ajute.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,662
578212_10150727945855793_525315792_9597876_1776736160_n.jpg
 
hayo ndio mapenzi ya kweli,sio kwenda kuangalia mpira..ukimuacha mama anahangaika peke yake....
 
hayo ndio mapenzi ya kweli,sio kwenda kuangalia mpira..ukimuacha mama anahangaika peke yake....

Slou daun mama, kuna wakati ninayafanya haya na kuna wakati lazima nikaangalie mpira. Unajua mkitufungia sana ndani tunakuwa mazuzu
 

Huyu ndio mwanamume wa kweli. Hapa akipewa usiku kucha ni haki yake kwa sababu madhara ya kukamua full time anajua kukabiliana nayo. Hongera kidume cha mfano.

Na wewe uliyeleta hii picha hapa jamvini, pata soda moja barido kwa bili yangu
 
hayo ndo malavidavi ,ila uongo si kazi,wanaume wenye mapenzi hayo wachache!
 
Nani kasema hawa na mke na mume?? Jamaa anapiga sound, akishapata hata kumgusa huyo mtoto hatataka.
 
kweli maisha ni kusaidiana kama hawa wawili ila sasa ewe mwanamke kama mueo ndio huyu please usimfanye ajute, muheshimu sana na mpe mzigo wake kama apendavyo siyo anakusaidia halafu usiku unadai nimechoka kimoja tu unamgeuzia mgongo. utalaaiwa wewe
 
Hawa wanaume wanaochangia hapa ingekuwa na wao wanafanya hivi, ingependeza sana
 
Back
Top Bottom