Kuna huu utamaduni wa kudharau wadada wa kazi, hadi wametungiwa majina eti beki 3, huwa nashangaa maana kazi wanazofanya hata dada zetu na mama zetu wanazifanya.
Ni hivi sasa, kuna kabinti mtaani kamekuja kama dada wa kazi, afisa mmoja kafika bei, jamani kanampelekesha, kanaweza muita hata yupo kazini atarudi, ninunulie hiki atanunua tu, utadhani kamemuwekea dawa.
Kakimpigia simu asipokee atasema alikuwa wapi au kamtumie msg achelewe kujibu mbona atasema. Hakika nimeamini usimdharau mwanamke hata kama awe vipi, wanawake ni next level.
Hadhi ya kazi zao,ndio zinanazo wadhalilisha.Lakin ni wasichana wazuri sana hasa kwa kuwa wao wako "natural" tofauti na hawa wa maofisin.Na ktk mechi ni wazuri pia.
Kuna huu utamaduni wa kudharau wadada wa kazi, hadi wametungiwa majina eti beki 3, huwa nashangaa maana kazi wanazofanya hata dada zetu na mama zetu wanazifanya.
Ni hivi sasa, kuna kabinti mtaani kamekuja kama dada wa kazi, afisa mmoja kafika bei, jamani kanampelekesha, kanaweza muita hata yupo kazini atarudi, ninunulie hiki atanunua tu, utadhani kamemuwekea dawa.
Kakimpigia simu asipokee atasema alikuwa wapi au kamtumie msg achelewe kujibu mbona atasema. Hakika nimeamini usimdharau mwanamke hata kama awe vipi, wanawake ni next level.
Mwanaume ana asilimia kubwa ya kumpenda mwanamke bila kujali hali yake ya kiuchumi au kijamii. Wanawake kumpenda mwanaume hasa siku hzi kuna vigezo zaidi - asiwe mwanaume suruali!