Upupu aka Pumba.watu wengine ni vichekesho...sasa kuna nini hapa..!!!!!!!.
Sorry Wakuu. Disregard this topic, haijakamilika.
Picha imegoma kuwa attached hapa
kuna maandishi mekundu kweli hapa? Au mi ndo sion vzur!! Pengine hiki nacho kchekesho kingine. Ha ha ha ha ha ha..... Uwiiiiii... Ohh! Nimeyaonaaaa....hi hi hi hi..those writings in red ndo kichekesho chenyewe...get it jamani....