Usimamishaji wangu umekua wa nadra

Usimamishaji wangu umekua wa nadra

Itabidi nijitahidi kuacha puchu manake tangu niachane na yule mchepuko nikarudi kwenye puli,angalau kipindi kile nilisimama kidogo masuala ya puli yule mchepuko alikua ananipa papuchi kila siku ninayohitaji
Tatizo hilo mkuu,acha au punguza kama ikishindikana kabisa hilo dudu puchu
 
Kuna nyakati uchumi ukiyumba the rest vinayumba, including how to handle a woman in bed. Sasa jaribu kutengeneza uchumi kwanza, punguza stress(kwa kufanya mazoezi), kula balanced diet, punguza/acha puchu na regulate body weight.
 
Uzito kama kilo ngapi?
 
Hahahahah polee saana kijanaa
Yani tangu niachane na yule mchepuko plus kununiwa na wife kujumlisha Hawa wataka pesa ukimtongoza tu basi siku hizi nimejikuta sina hamu kabisa ya Mapenzi

Hata mashine inasimama pale inavyojiskia hasa ninapobanwa Sana na mkojo

Kichwa changu naona hakipo sawa kabisa siku hizi mawazo ya Mapenzi na kutongoza yapo mbaliiiii mnoo

Jamani anaejua Tiba ya kuondoa Hali hii na kurudi ile Hali yangu ya zamani kabla ya hii misuko suko haijanitokea anisaidie najihisi siko sawa akilini kabisa .
 
Back
Top Bottom