Usimamaji Gani Huu Jamani.

Usimamaji Gani Huu Jamani.

Ndesalee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
1,092
Reaction score
522
Kali ya mwaka hii.
 

Attachments

  • 1414692557148.jpg
    1414692557148.jpg
    25.8 KB · Views: 635
Duh,mbona mguu wa mpiga picha unaonekana.
HIYO NDIYO BALAA LA FOLENI KWENYE MAOFISI.
 
Mafao haya ni shiida,viuno vimechoka woote,hy kaegemea meza,huyu kakitegua kwa mbele
 
Bunper to bumper, hachomekei mtu., cha ajabu foleni ya wawili tu!
 
Huyo wa nyuma ni bazazi, hapo mshobobo unafanya google search.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom