Usilie, jikaze kiume

Malimu Gurumo and co. waliwahi kuimba wimbo "ukimwona mtu mzima analia uje kuna jambo"
 
Oops, halafu jamaa pembeni sijui anamshangaa au anamuonea huruma
 
Anaitwa kwame Ajamu'40 years in jail for a crime he did not commit
Sasa ndo alikua ameachiwa huru

Waafrika bado tunasafari ndefu kuufikia uhuru kamili, na kinachotuchelewesha zaidi ni migawanyiko yetu. Weusi walioko Marekani na ulaya bado wanaonekana ni wananchi wa daraja la pili.
 
Ni black America ametumikia kitu go cha miaka40, sasa kaachiwa baada Ya kugundulika hakua na hatia
Ilikua kwenye news CNN' wiki hii
Nimesahu jina lake

aisee pole yake ina maana ujana wake wote ameutumia jela, hata mm ningelia in big way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…