Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Sijakuelewa..kwahiyo which is which? ni nzuri kiafya ama mbaya? maelezo yako yameniacha njiapanda!Niliangalia programme moja kwenye BBC, wa kusema yai la kuchemsha si bays kama la kukaanga. Unaweza kila mayai mawili ya kuchemsha kila siku kama sehemu ya break fast.
Dada mmoja yeye alikuwa anafanya diet, aliniambia break fast anakula fruits lunch ni mayai miwili ya kuchemsha, tango na bipande viwili vya brown bread.
Dinner ni mayai manne ya kuchemsha brown bead biplanes viwili, parachichi na maji.
Kama yai lina lehemu 213 mg zinazohitajika mwilini kwa siku sasa iwaje nisile yai moja kwa siku kulingana na mahitaji ya mwiliMayai yana protini, vitamini na madini. Hata hivyo mayai yana lehemu kwa wingi.
Yai moja lina 213 mg za lehemu (cholesterol) ambazo huhitajika mwilini kwa siku.
Hivyo ni bora kupunguza matumizi ya mayai, yasizidi matatu kwa wiki na litumike yai moja tu kwa siku tofauti.
Tiba Fasta
Unaweza kutumia mayai badala carbohydrate ukiwa kwenye dietSijakuelewa..kwahiyo which is which? ni nzuri kiafya ama mbaya? maelezo yako yameniacha njiapanda!
Hata mm nasubili akujibuKama yai lina lehemu 213 mg zinazohitajika mwilini kwa siku sasa iwaje nisile yai moja kwa siku kulingana na mahitaji ya mwili
Oohh haya ..itawafaa wenye miili kama kabati aka Le mutuzz!Unaweza kutumia mayai badala carbohydrate ukiwa kwenye diet
Lehemu au cholesterol inasaidia kulinda cell ya mwili, kuruhusu kipi kiingie na kipi kibaki nje, bila cholesterol cells zingy absorb maji kupita mahitaji yake.Lehemu inahitajikaje mwilini
Au "poached" sio mbaya.Niliangalia programme moja kwenye BBC, wa kusema yai la kuchemsha si baya kama la kukaanga. Unaweza kula mayai mawili ya kuchemsha kila siku kama sehemu ya break fast.
Dada mmoja yeye alikuwa anafanya diet, aliniambia break fast anakula fruits lunch ni mayai miwili ya kuchemsha, tango na vipande viwili vya brown bread.
Dinner ni mayai manne ya kuchemsha brown bread vipande viwili, parachichi na maji.
KabisaAu "poached" sio mbaya.
Wewe si mstaarabu hata kidogo.Mkuu mimi nikiwa na bifu na work mate wangu hii ndio njia rahisi kuwakomoa.
Mayai 3 ya kuchemsha, soda Coca ya moto then maharage ya jana. Wanatafutana humo ndani.
[emoji36] [emoji36] [emoji1] [emoji1] [emoji1]