Usilazimishe jambo linalokataa

Usilazimishe jambo linalokataa

Kwenye kutafuta hela mzee lazima uwe mtu wa kuforce muda mwingine, wavumbuzi wenyewe walishakutana na ukuta mara kadhaa lakini walikaza mwisho wa siku Boom!

Maskini hajawahi kulindwa na ulimwengu hata siku moja!
Muulize kwanini kampuni inaitwa 7up?
 
Ukiachana na kuzaliwa pamoja na masomo yangu mpaka o'level, mambo mengine yote yaliyobaki asilimia kubwa nime-force sana. Na kama isingekuwa hivyo huenda leo hii ningekuwa marehemu
Well thats good your a real fighter. Kuna mambo ya ku force na mengine hayahitaji ku force unaweza ukaishia pabaya
 
Mtazamo wangu upo upande wa mambo ya kiroho sana kwahiyo haufungamani na mifano ya ki Dunia hiyo
Umesema mchongo sijui na nini! mzee ivi unaamini hakuna uniformity ya mambo hapa duniani? Unaweza ukajua njia hii sio sahihi mwezie akapita hiyohiyo akafika! Wewe njia uliyoiamini ukipita unafeli
 
Point ni kwamba kuna mambo mengine ambayo mtu ametumia nguvu kubwa kufanikisha hayatokei lakini yeye akaendelea kulazimisha akaishia kuangukia kwenye matatizo
 
Amini kuna mambo mengine tena mtu anafosi na anatoboa tu
Hio ipo sikatai ila kuna mambo hayahitaji ulazimishe , mfano kulazimisha penzi halafu demu hana feeling na ww , unafikiri penzi hilo litatoboa kweli ? Au kulazimisha safari ambayo inavipingamizi kumbe ni mambo ya kiroho yanakuzuia unaenda unakula mzinga . Hauwezi kuelewa kama hauna imani
 
Jambo lolote ambalo lina baraka za Mungu na ni mapenzi ya Mungu katika Maisha yako huwa hautumii nguvu kulipata

Usilazimishe Mchongo unaokataa, usilazimishe Safari inayokataa , usilazimishe Mapenzi yanayokataa , n.k . Universe is protecting you
Mapambano yanahitajika mkuu,chochote kwenye maisha lazima ukipambanie lazima ukitolee jasho ,hakuna neno bahati kwenye maisha lazima ufanye jitihada ndo upate kitu. Hata ule mchezo wa mahati nasibu lazima utoke ukasuke mkeka.kwahyo mapambano ni mhimu sana na chochote cha halali lazima ukitolee jasho na Kuna wakati unaweza ukahisi siyo chako kumbe ni kipimo cha utu
 
Mkuu hakuna mtu duniani alianzisha kitu hapo hapo kikaendelea na kuzidi kunawili bila changamoto.kuforce ni mhimu sana kwenye life hii
 
Jambo lolote ambalo lina baraka za Mungu na ni mapenzi ya Mungu katika Maisha yako huwa hautumii nguvu kulipata

Usilazimishe Mchongo unaokataa, usilazimishe Safari inayokataa , usilazimishe Mapenzi yanayokataa , n.k . Universe is protecting you
Vp kwa wanandoa ambao wamehangaika kupata mtoto kwa muda mrefu?
 
Mapambano yanahitajika mkuu,chochote kwenye maisha lazima ukipambanie lazima ukitolee jasho ,hakuna neno bahati kwenye maisha lazima ufanye jitihada ndo upate kitu. Hata ule mchezo wa mahati nasibu lazima utoke ukasuke mkeka.kwahyo mapambano ni mhimu sana na chochote cha halali lazima ukitolee jasho na Kuna wakati unaweza ukahisi siyo chako kumbe ni kipimo cha utu
Kupambana ni ruksa ila kuwe na kiasi ukizidisha unatafuta matatizo
 
Back
Top Bottom