Usilale na vitu hivi...

Usilale na vitu hivi...

Rapunzel

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
1,079
Reaction score
601
Ladies and gentlemen
Yaani leo nina mood mnzuri kweli ya kupost topics na mniacheee hahahah .

Sasa wakuu zingatieni haya :-

1 - USILALE UKIWA UMEVAA SAA. Saa ya mkononi ina madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa(ya mkononi)

2 - USILALE UMEVAA SIDILIA(wanawake wanayovaa kwenye matiti ). Wanasayansi wa America wamegundua kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.

3 - USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU. wanashauri usiweke simu pembeni kwasababu ya mionzi ya simu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizima kama ni lazima ukae nayo karibu.

4 - USILALE UKIWA UMEWEKA MAKE - UP (usoni). Hii usababisha ngozi kutopumua vizuri na kutopata usingizi kwa haraka.

5- USILALE NA CHUPI- Hili kuwa huru na kulala ni vyema ukalala bila kubanwa na kitu chochote, chupi haitakiwi. KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ....

6 - USILALE NA MKE/MUME WA MTU. Jambo kama hili linapotokea na ukabainika linaweza chukua uhai wa mtu, ni vizuri ukawa makini sana hapa!.
Habari ndio hiyo.
 
Hiyo ya 5, 6 umetunga mwenyewe uwongo? No 2na sie tunaoenda job asubuh mpaka usiku unashaurije tukifika ofisini tuvue sidiria?
 
Hahahaha mkuu safi sana,chukua like

Mie umenisaidi hii ya 3,maanamie huweka kichwani kabisaaa.
Shukran,leo nitaiacha ukumbini.

Sasa number 5 kwamba bila chupi,hiii inategemea maeneo gani unaishi,kuna mitaa kila siku mwiziiii,na mingine mvua ndio kama hizi mafuriko tele,sasa watu hulala na chupi ili ikitokea tu basi anapitia hata tambaa la deki mbio
 
No. 2 umenigusa kulala na bra cjui ntaacha lini.
 
Rapunzel heri yangu Mimi nalala na kaptula ya jeans...
 
Last edited by a moderator:
Hahaha nimeipenda 5.lazma hewa safi ipite maeneo ya southern corridor
 
Back
Top Bottom