Usilale na Simu


Lekanjobe Kubinika

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2006
Messages
3,065
Points
1,195
Lekanjobe Kubinika

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2006
3,065 1,195
Hizo ni za kichina ambazo ni feki
 
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2012
Messages
3,606
Points
1,195
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2012
3,606 1,195
Still wondering if the problem is to "sleep with the phone" or just staying closer to the phone(most of the time)...bse if it is earlier(that's sleeping with the phone) is when radiation occurs, how does it(cell) know umelala for you to be at risk?
 
Hercule Poirot

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
1,431
Points
2,000
Hercule Poirot

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
1,431 2,000
mbona hamsemi tuitembee nazo ktk mifuko yetu ya sarawili na shati, au hio mionz inatoka usiku tu???
 
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
11,840
Points
1,225
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
11,840 1,225
Nashukuru kwa ushauri mzuri wa kitaalamu!
 
N

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Messages
575
Points
195
Age
34
N

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2011
575 195
mbona hapo ipo mbali sana. vp wakati wachana ipo kwenye mifuko ya shati na suruali. kwa akina mama hata kwenye bra?????
 
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2012
Messages
684
Points
195
Age
27
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2012
684 195
kuanzia leo naacha baba naacha mieeee
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,235
Points
1,195
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,235 1,195
Kuna mtu kanitumia ujumbe huu kwenye simu jana:

"Kila usiku saa 6:30 to 9:30 miale ya COSMO itaingia duniani kutoka sayari ya mars. Hivyo zima simu yako usiku na iweke mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni miale hatari. Chanzo cha habari ni BBC NEWS tafadhari wape taarifa na wengine. Yaweza kuwa kweli au si kweli la mhimu tusidharau".

Leo asubuhi naikuta hapa, basi tuchukuwe tahadhari
 
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2012
Messages
3,606
Points
1,195
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2012
3,606 1,195
Kuna mtu kanitumia ujumbe huu kwenye simu jana:

"Kila usiku saa 6:30 to 9:30 miale ya COSMO itaingia duniani kutoka sayari ya mars. Hivyo zima simu yako usiku na iweke mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni miale hatari. Chanzo cha habari ni BBC NEWS tafadhari wape taarifa na wengine. Yaweza kuwa kweli au si kweli la mhimu tusidharau".

Leo asubuhi naikuta hapa, basi tuchukuwe tahadhari
Mkuu, BBC NEWS taarifa ya lini?..na je, "saa 6:30 to 9:30 usiku" ya nchi gani?
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,235
Points
1,195
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,235 1,195
Mkuu, BBC NEWS taarifa ya lini?..na je, "saa 6:30 to 9:30 usiku" ya nchi gani?
Mkuu, mi tangu nilipotumiwa hiyo sms sijafanya chochote pamoja na kuwa yeye alisisitiza nitume kwa wengine, kwa kawaida maswali ni mengi lakini tahadhari ni tahadhari. Mi sikumbuki mara ya mwisho lini nilisikiliza BBC
 
Blaine

Blaine

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Messages
2,280
Points
0
Blaine

Blaine

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2012
2,280 0
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2012
Messages
3,606
Points
1,195
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2012
3,606 1,195
Last edited by a moderator:
Blaine

Blaine

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Messages
2,280
Points
0
Blaine

Blaine

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2012
2,280 0
Health Risks and Dangers of Cell Phone Radiation | Mobile Phone Radiation

Don't sleep with your smart phone nearby - CNN.com

Mkuu Blaine, nadhani kuna tofauti KUBWA kati ya kutumia simu kwa masaa mengi na kuongea na simu kwa vipindi vya siku(usiku/mchana)..link nyingi ikiwepo na hizo hapo juu zinaonyesha study zilizofanya kati ya watumiaji wa simu muda kwa masaa mengi na si kwa vipindi vya siku(mchana/au usiku). And that's where my earlier question lies?
my first link shows how phone affects sleep, ya pili the brain talks about more-or-less the same. your 1st link doesn't show any connection btn phones na health hazards except sleep which is temporary. the 2nd inaongelea phone addiction which is annoying but not dangerous, hautakuwa 'teja' wa blackberry lol au kuna kitu nime-miss
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,284
Points
2,000
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,284 2,000
Duh huu ushauri utaturudihsa kwenye spousal brawls again.........imagine simu ulale nayo mbali si balaa?
 
gpblaze

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Messages
304
Points
0
Age
37
gpblaze

gpblaze

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2011
304 0
Hata hyo ya mifukoni nayo ni hatari.ingawa wataalam wanasema effect yake ni baada ya miaka mingi sana ambayo sio calculated kwa binadamu kuishi
 
gpblaze

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Messages
304
Points
0
Age
37
gpblaze

gpblaze

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2011
304 0
Hakuna balaa ni mazoea tu.thats why vitanda vya kisasa vina droo ambazo ziko mbavuni mwa kitanda ambazo unaweza kuweka simu yako na sio kuweka chini ya mto.jaribu leo utaona usingizi utakavyokuwa mzuri
 

Forum statistics

Threads 1,285,206
Members 494,498
Posts 30,853,682
Top