Ponda mali binti uzee wajaTulia kijana π
Hapana pengine hakutokua na maajabu hapokushuhudia zao letu
Kaone ka hulda kwa nini awe mchaga πππKuna mzee mmoja wa kichaga yupo hapa jirani, yuko hivi hivi kabisa. Anapenda kuvaa kofia kubwa la duara π
ntadeal na wewe pombe ikikutoka!View attachment 3599559
Ngoja Niendelee Kuzimua Na Valeur....,,Atakoma Leo Mwenye Jinsia Kama Yako....Umenidindisha Vibaya Mnoo Bibiee Ser.....Ulale Unono....
NomaPonda mali binti uzee waja
Mnatakiwa mshirikiane kula pesa yake aje kuanzisha uzi juu ya mapenziNoma
Nani huyoMnatakiwa mshirikiane kula pesa yake aje kuanzisha uzi juu ya mapenzi
Mleta uziNani huyo
Anamiliki gunia 15 hana helaMleta uzi
Zikiisha mnaondoka lile sio agano unajua wasukuma kuwaelemisha ni inshu sanaAnamiliki gunia 15 hana hela
Daah. Sijui nikuelezejewEbu fafanua kidogo, ili wengi tuweze kuelewa.
Subiri nile kwanza, nikishiba nitarudiDaah. Sijui nikuelezejew
Sikupingi wala sikushauri.KATA ndoa
Ndoa ni utapeli
Shem hujawahi kumiliki akili πΉHatimaye nimevuna magunia 15 ya mpunga; kwa sasa natafuta mke wa kuoa aje tusaidiane kula mavuno yangu.
Kama wewe ni mrembo, na una uwezo wa kumshawishi equation x ili akuruhusu uje ule mavuno yake aliolima kwa shida, pita hapa mbele ukiwa unanesanesa.
Usikubali kuzeekea nyumbani, njoo kwa eqution x msaidizane kula mavuno yake.
Magunia 15 ya mpunga πΉSubirii wanakujaa, ko kigezo ni uremboo tuu au?
πππ
Unafaa kabisa kula magunia yangu niliyovunaShem hujawahi kumiliki akili πΉ
Njoo uwe unapika pilau kila sikuNyodo zote hizo ni hizo gunia za mpunga tu au kuna na gunia za euroπββοΈββ‘οΈ
Ukiambiwa uchague pesa au chakula, utachagua nini?Magunia 15 ya mpunga πΉ
Gunia moja elfu 70
Ko ana 1,050,000 πΉ
Hapo atafute walimu wa TAMISEMI labda..!!
Wakaoshane vumbi kwa hiyo pesa..!!
Nachagua PesaUkiambiwa uchague pesa au chakula, utachagua nini?