Usikubali kuliwa hivi hivi

Kuna siku mtu aliniomba namba nikampa.
Baadae akanitumia SMS.
"Xaxa xixta, mi2 nimekuerewa. Urinipa namba yakk ...." Nikamblock hapo hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Na hujamwona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizo buku jero zenyewe haziumi akiomba eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wimbi la watu wasiojua kuandika kiswahili fasaha linaongezeka kwa kasi sana...sijui tunakwama wapi aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwamba hawajui kuandika wengine wanakuwa na kitete cha kupiga mizinga kwa iyo anaandika faster faster.. Na sisi wanaume tunakua na kitete cha kupigwa mzinga, ni lazima tu mwandiko uende mrama..[emoji102]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbaya sana wewe
 
Wengi mno hawa hasa wapiga mizinga!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku mtu aliniomba namba nikampa.
Baadae akanitumia SMS.
"Xaxa xixta, mi2 nimekuerewa. Urinipa namba yakk ...." Nikamblock hapo hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…