Usiku wezi wamezidi kuruka ukuta, nipeni ujanja

Usiku wezi wamezidi kuruka ukuta, nipeni ujanja

Mimi nafunga electric fence karibu sana bei poa kabisa na ina alarm akigusa au kujaribu kukata wire.
 
Bei elfu 13/meter tukitumia bomba za chuma na za aluminium ni elfu 16/meter pia bei inapungua kutegemea na mzunguko wa ukuta
 
Aiseeh! tafuta tego la joka la mzimu huko kwetu hutumika kulindia mashamba mwizi au wevi wakiingia hakuna kutoka tena, joka la mzimu lina futi mia saba lina rangi saba lina weza jigawa mara sabini na saba lina kaba njia saba,
je nyumba yako imezungukwa na njia ngapi?
 
Fuga mbwa tu,watakapokuja hao wezi wako mbwa watabweka hivyo utaamka na kujiandaa kukabiliana nao
 
Msimu huu ni wa wezi aise......maana wqmechachama sana

Ova
 
Huwezi kumtega binadamu kama unatega mtego Wa panya; wezi wengi ni mafundi Umeme na geti, wanatembea na TESTER , Jack n.k wanajua kitu, angalau ungemshauri Afuge Mbwa au aaijili Mlinzi Full stop, zaidi ya hapo aondoe vitamanishi avifungie ndani!
Hiyo TESTER ina test upupu?
 
Mimi nawabandikiaga vyeti vyangu vya black belt nje, za Aikido, judo, karate, kungfu (Martial Arts) nilivyovipata China Na Japani. Tena photocopy siyo original Na mlango si fungi nikilala. Hakuna kengeh yeyote anayethubutu kusogelea kwangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom