Hakika mazungumzo haya ya kumbukizi, yamenifanya nami kumuelewa huyu mwandishi nguli Ngugi wa Thiong'o kwa kina, tawala zote gandamizi, ukoloni wa wakoloni weusi baada ya wale wa Ulaya kutupatia uhuru wa bendera na pia mapambano ya pili ya kujinasua kutoka kwa mkoloni mweusi.