Usiku wa Bongo Flava umeniharibia maisha

Hujaukwaa, Ondoa wasiwasi kabisa.
 
Huwa vijana mnajidanganya na ndomu. Unavaa ndomu hatua za mwisho wakati kabla ya kuvaa ndani ya dakika 30 ulikuwa unaipapasa na Mikono mitupu na kuingiza vidole eti unamwamdaa? unaandaa Malaya mmekutana siku Moja?
 
Wanawake wa bar nimepiga sana,, zaidi ya miaka kumi zilikuwa ndio mboga zangu,, na si wote nilitumia mipira wakati mwingine peku tu hasa pombe zikiwa zimekolea kichwani,, lakini Mungu ni mkuu sana mpaka leo niko Negative.. Usihukumu mtu kwa kazi yake anayofanya ni kweli upande ule risk ni kubwa zaidi lakini hata hao watoto wa chuo tunaowaona salama na wao pia wengi wameungua,, mrudie Mungu na uache kunywa pombe kupitiliza bila kampani ya marafiki wenye akili,,
 
Kivipi mkuu
Vema.
Hongera kwanza, unajua kujilinda.
Pili, Condom kupasuka accidentally siyo kigezo cha kuupata. Mwanaume kuupata huwa ni ngumu kidogo... Unless kama baada ya kupasuka, mliendeleza mechi hvyohvyo pekupeku mda mrefu deliberately, kutokana na Vibe....

Lakn kama hamkufanya hvyo, we tulia tu, agiza bia zako hapo na size ya kati kwa Amani kabisa leo J2.
 
Afuate ushauri huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…