Barua za aina hiyo zilikuwa hazikosi na 'poda' (powder) inayonukia sana...halafu mkikutana mnaangaliana tu, ukimpa hela kidogo anakurushia na anaweza kukuacha kwa kuwa umeona kuwa au umemfanya kuwa ni 'mhuni' au neno lile lilizoeleka zamani 'malaya'...