Gazaniga
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,051
- 360
Kichwa cha habari chahusika,Lukelo Sakafu ameniagiza niwataarifu wana jukwaa wote kuwa usiku wa leo ni wa tofauti sana kwake na utakuwa ni usiku wapekee tangu amezaliwa mpaka leo.
Pia amenisisitiza niwakaribisheni nyote katika harusi yake inayoendelea pale sinza KKKT church.
Nimewakilisha ujumbe.
Pia amenisisitiza niwakaribisheni nyote katika harusi yake inayoendelea pale sinza KKKT church.
Nimewakilisha ujumbe.