kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 455
kila la kheri maana usiku mrefu sana!same to you
Wana wa chit chat baada ya mizunguko ya mchana kutwa sasa ni muda wa kupumzika na kutafakari ya kesho mungu akipenda kumbuka usingizi haukopwi love you. Good night
Wana wa chit chat baada ya mizunguko ya mchana kutwa sasa ni muda wa kupumzika na kutafakari ya kesho mungu akipenda kumbuka usingizi haukopwi love you. Good night
Unalala saa tatu?karibu Dar,ni PM kesho twende Kona baa,tehee heeeee.
Usingizi mzuri ni wa kuanzia saa nne,lakini mi nipo Big L mpaka muda huu