Usiku mwema

perfect_rahym

Member
Mar 27, 2017
41
45
Lala salama kipenzi changu cha moyoni lala huku ukiendelea kuwa na imani ya dhati kuwa mimi ndio mwanaume nikupendae kwa dhati milele maishani

Huwa nafanya ivo kila usiku unapoingia kama dozi ya ukimwi Aaaah mapenzi kero muda mwengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom