Usiku mwanana (lakitanga)

Usiku mwanana (lakitanga)

Daaa mshana hapa mtandao umestaki kwa muda, bora ningeiona usiku aiseee
 
Last edited by a moderator:
Tafadhali...ni laki tanga au lakitanga???!! Dada zangu ujue hao bora iwe laki tanga, kujiachia hivyo manake nini!? Hii Tanga tunanunua laki, nadhani ndo utakua ulimaanisha hivyo.
 
Jamani huyo ni mmoja au ni wawili wamesogeleana?maana la upande mmoja tu sawa na mawili ya akina flat screen
 
Back
Top Bottom