T Travoo JF-Expert Member Joined Oct 30, 2014 Posts 397 Reaction score 483 Jan 1, 2018 #61 Niko nacharaza kiboard kuandaa mikeka yakumuumiza muhindi...
101 East JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 1,057 Reaction score 2,256 Jan 1, 2018 Thread starter #63 bhakamu said: Guest.... Click to expand... Umemaliza mwaka guest na umeuanzia mwaka guest
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,386 Reaction score 77,267 Jan 1, 2018 #64 Ms.Lincoln said: Kuhusu nini Click to expand... Nimegundua leo kua ukisnap vidole sauti inatoka baada ya vidole kugonga kiganja
Ms.Lincoln said: Kuhusu nini Click to expand... Nimegundua leo kua ukisnap vidole sauti inatoka baada ya vidole kugonga kiganja
emanuel prim JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 508 Reaction score 477 Jan 1, 2018 #65 Kanisani
Muumangu Member Joined Dec 31, 2017 Posts 70 Reaction score 16 Jan 1, 2018 #66 Niko chooni nakata gogo
Sadiki Abdallah JF-Expert Member Joined Jul 13, 2016 Posts 885 Reaction score 583 Jan 1, 2018 #67 Eck fulani said: Natoa ofa kwa members walioko songea mjini ...Nipo lachaz s p. Click to expand... Songea sehemu gani? Mimi nipo serengeti pab hapa
Eck fulani said: Natoa ofa kwa members walioko songea mjini ...Nipo lachaz s p. Click to expand... Songea sehemu gani? Mimi nipo serengeti pab hapa
goldie ink JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 5,634 Reaction score 9,153 Jan 1, 2018 #68 Mto wami 😀
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,390 Jan 1, 2018 #69 Mimi na mwanangu tunawakaribisha leo tarehe 1/1/2018 nyumbani kwetu kutakuwa na nyama choma na vinywaji Kuanzia saa 6 mchana mpaka usiku.
Mimi na mwanangu tunawakaribisha leo tarehe 1/1/2018 nyumbani kwetu kutakuwa na nyama choma na vinywaji Kuanzia saa 6 mchana mpaka usiku.