Usiku huu GOAT anaagwa Kwa heshima

Usiku huu GOAT anaagwa Kwa heshima

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,344
Reaction score
12,472
Ndio kinachoendelea huko america kusini Mess yupo uwanjani akiagwa rasmi kutumikia timu ya taifa

Dk73
Argentina 3-0 Benin
Mess 1 goal & 2 asists
 
Kuna watu hadithi za maisha yao zinapendeza kusimulia, yaani unaona kabisa wamekuja duniani na kufanya walichotakiwa kufanya.

Ni muhimu kila mmoja wetu ajue kusudi lake la kuja duniani ili aweze kuacha legacy kwa familia na jamii yake. Kuna cha kujifunza kwa Messi.
 
Back
Top Bottom