DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,512
Apo utakuta kafungua kiji-botique uchwara sinza,Wanawake wanene wanajikuta wanaharakati sana, namuonea huruma bro wetu nyumbani
Kaenda china mara 2, anavimba keshajikuta financially stable hata kuaga anaona kama sio wajibu wake[emoji3525]