Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,595
- 3,425
Usione haya anayofanya huyu mama, na wewe mwanamke ukataka uyalete kwenye ndoa yako. Utaangukia pua.
Ni wanaume wachache sana wanaweza kuvumilia huu upumbavu. Wanawake kuweni makini na hayo makongamano yunu. Financial independence yako, isiwe chanzo cha kuvunja ndoa yako.