Katika tafiti zangu nimegundua kuwa kiwango cha juu cha usikivu cha wanawake ni wakati wa tendo la ndoa, katika tendo hilo mwanamke anakuwa msikivu kuliko kawaida, ukimwambia lala hivi analala, ukimwambia geuka anageuka, kiubavu naye yumo tu, twende chini hayaaa, inama kweli anaitikia hadi kuna wakati unamhurumia kwa jinsi unavyomshughurisha naye akitii. Mgogoro unaibuka baada ya kutoka hapo, mwanamke anakuwa kichwa ngumu, ukimwambia vile wala hataki, mke wangu, mpenzi wangu hebu niandalie chakula, wapi! Hakika usikivu ule wakati wa mamboz ungekuwa endelevu ndoa/mapenzi mengi yangedumu sana.