Wengine wanafunga ndoa kutoa gundu tu,wanaita kutoa Loki.
Ndoa sio kitu cha kukurupukia,kuna ukweli mkubwa kuhusu wengi wanaokimbilia kuolewa kwa hizo sababu ulizotaja,na mioyoni mwao wengi wanakuwa bado hawajamaliza maisha yao ya kuishi peke yao,yaani inakuwa kama amekatiza sasa akiingia kwenye ndoa anajikuta anamalizia kile kiporo cha aliyobakiza,sasa hapa ndio penye balaa...
Mki match tabia ndo inakuwa tamu daima.Well said kafara(sucrifice) ya ndoa ni kuvumiliana na kukubali kupoteza furaha yako kwa ajili ya mwenzi wako
Kuna watu wanataka ndoa ila hawataki kuacha maisha ua usingo
Ndoa inakua ngumu balaa maana anataka starehe na michepuko na kurudi home muda atakao yeye
Ku-match ni process of sucrifice uyapendayo kwa ajili ya mwenzi wakoMki match tabia ndo inakuwa tamu daima.
Na hapo ndo tatizo linapoanzia, nnao Mfano hai. Jamaa alioa tena harusi ya hadhi yake, shida ikaanza alipotaka kuendeleza style ya ki-bachelor.
Balaa ilikuwa kubwa ikabidi wife arudi home kwao, ilibidi shughuli ifanyike kurejesha ndoa iliyokua inaelekea kufa.
ujumbe ulio bora kabisaJe, umeolewa dada? Fanya hivi
Fanya siku moja umwangalie mumeo usoni akiwa amelala, halafu kaa na utafakari, jiulize maswali???
Huyu ndie mume wangu aliyenifanya niwaache wazazi wangu kwa ajili yake. Sina uhusiano naye wa damu ila amekuwa mshirika wangu, mpenzi wangu, faraja yangu kuliko ndugu wa damu kwa sababu tunachanganya pamoja kila kitu sio damu tu.
-kwanini nisimpende
-kwanini nisimthamini
-kwanini nisimjali
-kwanini nisimsikize
-kwanini nisiwe chini yake
-kwanini nisimfunilie moyo wangu.
Mumeo ni mtu muhimu sana katika maisha yako hata ukifanya dhambi mola ataenda kumuuliza na yeye pia.
Siku moja akirudi kutoka kazini mkumbatie kwa hubba mshike mkono wake na uubusu huo ndio mkono unaohangaika kufanya kazi ili muishi, mshibe, mvae, msiazirike. Amekuwa sehemu ya maisha yako, amekuwa kama pande la nyama katika mwili wako, mara nyengine anawanyima ndugu zake wa damu ili akupe wewe.
KUMBUKA: UKIMKOPESHA MAHABBA ATAKULIPA MAWADDA.
Ku-match ni process of sucrifice uyapendayo kwa ajili ya mwenzi wako
Shida vijana wa sasa hakina anayetaka kufanya ivo
Awe na upendo wanasema marry for love ukiwa na upendo mapungufu ya mwenzio utayachukua na kumchukulia mwenzako ....umesema malalamiko ya upande mmoja tu
je ili mtu aoe au kuolewa inatakiwa afanye nn
Kuna wanao match hata kabla hawajawa mke na mume mbona hasa walioanzia kwenye urafiki kisha mapenzi wengi huwa wana blend vyema ila kwa wale wanaonza kwenye mapenzi moja kwa moja baada ya kutongozana ndio wengi wana incompatibility issues.
Kinacholeta mgogoro kwenye hizi ndoa ni kushindwa ku compromise (kusawazishana). Unakuta mtu ana tabia flani ngumu ukijaribu kumuelekeza aache ile expense ya kuiacha hio tabia anakuwa hataki kuivumilia. Mfano mtu mlevi ukimuomba akache ile starehe yake maana kwako ni kero akawa hataki kuacha ili upate utulivu wa nafsi inaleta msuguano ambao pia na wewe kuna vitu atavyotaka uache nawewe utamkazia so uhai wa uhusiano unakuwepo kupitia mazoea tu ila upendo ushakufa.
Hahahah! Anakuwa hana sababu za msingi haswa na wengi wao ni sababu ya umri tu. Anataka aolewe kabla ya 30 years of age hio ndio target yake.Mimi nafikri tatizo linaanzia kwenye sababu ya kuolewa/kuoa
Hasa kwa wanawake, weng ukiwauliza keann unataka kuolewa hana majibu sahihi, ila moyon anajua anaolewa kwa sababu ambazo hazina msingi
Mfn kuwaonesha watu, kumkomoa mtu, n.k
Dada?? Internal amebadili jinsi lini, mkuu taratibu.Je, umeolewa dada? Fanya hivi
Fanya siku moja umwangalie mumeo usoni akiwa amelala, halafu kaa na utafakari, jiulize maswali???
Huyu ndie mume wangu aliyenifanya niwaache wazazi wangu kwa ajili yake. Sina uhusiano naye wa damu ila amekuwa mshirika wangu, mpenzi wangu, faraja yangu kuliko ndugu wa damu kwa sababu tunachanganya pamoja kila kitu sio damu tu.
-kwanini nisimpende
-kwanini nisimthamini
-kwanini nisimjali
-kwanini nisimsikize
-kwanini nisiwe chini yake
-kwanini nisimfunilie moyo wangu.
Mumeo ni mtu muhimu sana katika maisha yako hata ukifanya dhambi mola ataenda kumuuliza na yeye pia.
Siku moja akirudi kutoka kazini mkumbatie kwa hubba mshike mkono wake na uubusu huo ndio mkono unaohangaika kufanya kazi ili muishi, mshibe, mvae, msiazirike. Amekuwa sehemu ya maisha yako, amekuwa kama pande la nyama katika mwili wako, mara nyengine anawanyima ndugu zake wa damu ili akupe wewe.
KUMBUKA: UKIMKOPESHA MAHABBA ATAKULIPA MAWADDA.
Je, umeolewa dada? Fanya hivi
Fanya siku moja umwangalie mumeo usoni akiwa amelala, halafu kaa na utafakari, jiulize maswali???
Huyu ndie mume wangu aliyenifanya niwaache wazazi wangu kwa ajili yake. Sina uhusiano naye wa damu ila amekuwa mshirika wangu, mpenzi wangu, faraja yangu kuliko ndugu wa damu kwa sababu tunachanganya pamoja kila kitu sio damu tu.
-kwanini nisimpende
-kwanini nisimthamini
-kwanini nisimjali
-kwanini nisimsikize
-kwanini nisiwe chini yake
-kwanini nisimfunilie moyo wangu.
Mumeo ni mtu muhimu sana katika maisha yako hata ukifanya dhambi mola ataenda kumuuliza na yeye pia.
Siku moja akirudi kutoka kazini mkumbatie kwa hubba mshike mkono wake na uubusu huo ndio mkono unaohangaika kufanya kazi ili muishi, mshibe, mvae, msiazirike. Amekuwa sehemu ya maisha yako, amekuwa kama pande la nyama katika mwili wako, mara nyengine anawanyima ndugu zake wa damu ili akupe wewe.
KUMBUKA: UKIMKOPESHA MAHABBA ATAKULIPA MAWADDA.
Kuna wanao match hata kabla hawajawa mke na mume mbona hasa walioanzia kwenye urafiki kisha mapenzi wengi huwa wana blend vyema ila kwa wale wanaonza kwenye mapenzi moja kwa moja baada ya kutongozana ndio wengi wana incompatibility issues.
Kinacholeta mgogoro kwenye hizi ndoa ni kushindwa ku compromise (kusawazishana). Unakuta mtu ana tabia flani ngumu ukijaribu kumuelekeza aache ile expense ya kuiacha hio tabia anakuwa hataki kuivumilia. Mfano mtu mlevi ukimuomba akache ile starehe yake maana kwako ni kero akawa hataki kuacha ili upate utulivu wa nafsi inaleta msuguano ambao pia na wewe kuna vitu atavyotaka uache nawewe utamkazia so uhai wa uhusiano unakuwepo kupitia mazoea tu ila upendo ushakufa.
Laiti watu wangejua a marriage is not a bed of roses but it needs hard work and committment to make it fun! Lazma watu tu compromise ili maisha yawe salama, chukulia ndoa kama gears. Lazma zichongwe kuwa na meno na mianya ili ziweze kukamatana vizuri na kufanya magurudumu ya gari yatembee
Mawadat warahmaJe, umeolewa dada? Fanya hivi