EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
- Thread starter
-
- #21
tatizo kuna kitu kinaitwa 'kupenda'
mtu anawezekana akawa akili yake bado inahitaji kukua na haiwezi ndoa, na ni mzigo mkubwa ukiwa nae kwenye ndoa, ama itabidi ujisacrifice way too much for them kwenye ndoa, ila ndio ushapenda sasa.
mnaodhani wamekosea kuoa ama kuolewa na fulani mara nyingine msishushe uwezo wao wa kung'amua mambo
huenda wanaelewa wenzi wao ni mabomu ila ndio vile washapenda na kuacha hawawezi wakaamua kujilipua na kuniingiza kwenye ndoa mradi wawe nao
Omba tu usimpate anayejaribu.
Tatizo umri.....aaaaaargh it's just a number.......hahaaaaa
Wenye ndoa si muungane mlete hoja kupinga hizi tuhuma?
Kutwa kutuimbia ndoa tamu ndoa tamu. Toeni majibu hapa.
Kuna watu wanataka ndoa ila hawataki kuacha maisha ua usingo
Ndoa inakua ngumu balaa maana anataka starehe na michepuko na kurudi home muda atakao yeye
Hahahahtatizo kuna kitu kinaitwa 'kupenda'
mtu anawezekana akawa akili yake bado inahitaji kukua na haiwezi ndoa, na ni mzigo mkubwa ukiwa nae kwenye ndoa, ama itabidi ujisacrifice way too much for them kwenye ndoa, ila ndio ushapenda sasa.
mnaodhani wamekosea kuoa ama kuolewa na fulani mara nyingine msishushe uwezo wao wa kung'amua mambo
huenda wanaelewa wenzi wao ni mabomu ila ndio vile washapenda na kuacha hawawezi wakaamua kujilipua na kuniingiza kwenye ndoa mradi wawe nao
Hio ni serious failure!
Na hawa ndio waliochangia kuidhoofisha taasisi ya ndoa kwa kweli, sie vijana waumini wa one-to-one function ndio tunaoteseka sana na tabu za kupekua pekua simu ili tu kuhakikisha usalama wa jimbo!Ndoa kipaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye simu ndo tunapokosea saana maana kila mtu ana maovu yake kwenye simu ndomana mapasiwedi kila sehemuNa hawa ndio waliochangia kuidhoofisha taasisi ya ndoa kwa kweli, sie vijana waumini wa one-to-one function ndio tunaoteseka sana na tabu za kupekua pekua simu ili tu kuhakikisha usalama wa jimbo!
Maana unaeza kuta kuna mgombea mwenza kashajitokeza na wananchi wamempokea vizuri anakula mema ya jimboni kwako kimya kimya na kwa gharama zako. Hali hio inaboa sana.
Ndo ilianza way back kabla Yesu hajaja kwa mwili wa nyama hapa dunianiNdoa sio jambo la kulala na kuamka ukafanya maana hata sisi wakristo tunaona katika biblia hakuna sehemu imeandikwa yesu aliwahi kubariki ndoa
Mkiwa mwili mmoja sio kwenye kuvuana chupi tu, ni kwa hali na mali. Sasa sioni maana ya wewe kuhubiri watu sio waaminifu kwenye ndoa ikiwa hata huo uaminifu wewe huna![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye simu ndo tunapokosea saana maana kila mtu ana maovu yake kwenye simu ndomana mapasiwedi kila sehemu
Mkiwa mwili mmoja sio kwenye kuvuana chupi tu, ni kwa hali na mali. Sasa sioni maana ya wewe kuhubiri watu sio waaminifu kwenye ndoa ikiwa hata huo uaminifu wewe huna!
Mi nahisi nilistahili demu wa kihindi tu, maana wale wanajua kujichunga wenyewe hata ukimuacha miaka 6 unasomea udaktari urusi huko ukirudi unamkuta kama ulivyomuacha
Oeni mpate utulivu, kijana ndoa hazifanani labda tuu nikuambie kitu kimoja "si kila ndoa kuna kitu kizuri, lakini katika ndoa kuna kitu kizuri"
Ndo ilianza way back kabla Yesu hajaja kwa mwili wa nyama hapa duniani
Yes, kwa wale waislam kuna nguzo 5 katika dini na kama ndoa ingekua na nguzo basi ya kwanza ingekua ni Uvumilivu na ya pili ingekua ni Subira,Well said kafara(sucrifice) ya ndoa ni kuvumiliana na kukubali kupoteza furaha yako kwa ajili ya mwenzi wako
Yes, kwa wale waislam kuna nguzo 5 katika dini na kama ndoa ingekua na nguzo basi ya kwanza ingekua ni Uvumilivu na ya pili ingekua ni Subira,
Je, umeolewa dada? Fanya hiviWenye ndoa si muungane mlete hoja kupinga hizi tuhuma?
Kutwa kutuimbia ndoa tamu ndoa tamu. Toeni majibu hapa.