Usikimbilie kuoa, utajuta

Usiseme hujaambiwa. Kijana usijifanye we mfia dini kwa kutaka kuhalalisha wakati bado unajenga career, hakikisha wakati unatangaza ndoa uwe umekamilisha angalau Masomo na una career au biashara inayoeleweka. Kuna dogo alipata kazi SUA akaoa fasta akatakiwa kwenda PhD China.

Sasa Uchumi ukatingishika bibie huku anatoa mitusi kama yote, jamaa kule shule haiendi mwaka wa 7 karudi Bongo, mwajiri anamuuliza vyeti vya PhD jamaa anang'aa sharubu kwa huruma. Jamaa kawa re-categorized kuwa WARDEN

NB: Weka mambo ya uchumi sawa kabla ya kuoa, mwanamke si ndugu yako eti akuvumilie shida zako.
Umemaliza mkuu
 
Halafu unakuja kuanika watu hapa tena kwa kutoa codes zote. Huna adabu kabisa wewe kijana. na je kufeli kwa huyo mtu unakuunganisha vipi na mkewe uenda jamaa alikuwa ni kilaza wewe unakuja kuhukumu humu. Mbona kuna watu wanaenda kusoma bila kuwa na wake na hawapati hizo PhD? usi-generalize vitu we mfanyakazi wa SUA
 
Okay. Tuma salamu
 
Usiseme hujaambiwa. Kijana usijifanye we mfia dini kwa kutaka kuhalalisha wakati bado unajenga career, hakikisha wakati unatangaza ndoa uwe umekamilisha angalau Masomo na una career au biashara inayoeleweka. Kuna dogo alipata kazi SUA akaoa fasta akatakiwa kwenda PhD China.

Sasa Uchumi ukatingishika bibie huku anatoa mitusi kama yote, jamaa kule shule haiendi mwaka wa 7 karudi Bongo, mwajiri anamuuliza vyeti vya PhD jamaa anang'aa sharubu kwa huruma. Jamaa kawa re-categorized kuwa WARDEN

NB: Weka mambo ya uchumi sawa kabla ya kuoa, mwanamke si ndugu yako eti akuvumilie shida zako.

Haieleweki kaa tuliza kichwa uandike
 
Back
Top Bottom