franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,400
- 1,451
- Thread starter
- #41
Scholarship ya jamaa ilikua Miaka 3. Sasa kule Supervisors (Main na Co-supervisors) wanazinguana mpaka leo hawajafikia popote mwaka wa 7 kwa hiyo anaishi kwa mshahara tu. Alipe bills za familia TZ na UghaibuniKwanza mtoa mada anatuchanganya kwa mambo yafuatayo:
Mosi, mtu anaeenda kufanya PhD maana yake aliajiriwa akiwa kama TA au Mhadhiri msaidizi(assistant lecturer), kwa scale za mshahara wa serikalini, huyo jamaa haipungui 2m kwa mwez kama alikua na masters tayari, kama alikua TA milion moja karibu na nusu take home, sasa je kama alimuachia wife salary iweje uchumi uyumbe?
Mbili, PhD za nje asilimia kubwa huenda kwa ufadhili, maana gharama zake ni kubwa sana, kama hivyo ndivyo, iweje ashuke kiuchumi kwa kiasi cha ndoa kutetereka?
Nafanya PhD kwa ufadhili, hela ya ufadhili inatosha kula mimi na wife, japo nipo chuo cha private ambapo mshahara si mkubwa sana tofauti na scale za serikalini kama SUA, lakin mahitaji yote ya msingi yanapatikana!
Nadhani jamaa kaoa kahaba, au na yeye binafsi ana shida asizoziweka wazi, ama ameenda kufanya PhD kwa kujilipia kitu ambacho siamin kwa mtumishi wa umma kwa kuzingatia mshahara wake ukilinganisha na gharama za shule ya nje!
Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app