kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Mungu ni mkuu bwana, kwenye maisha usikate tamaa.
Baada ya miezi kazaa kukaa bila mpenzi mwanaume bila mwanamke hawezi, tusidanganyane, ila ni kwa wale tu ambao wako imara, siyo wanaume wapiga nyeto wale wana wapenzi wao tayari.
2021 - 2022 ilikuwa nuksi kwangu, kila mwanamke niliyekuwa natongoza alikuwa anakataa mpaka nikawa nafikiria labda ni nuksi, siyo bure. Nilikata zangu tamaa ya kuwa na mpenzi kabisa. Nikaona sina bahati acha ni jaribu nyeto na mimi.
Ona sasa Mungu alivyo wa ajabu, ilikuwa mwezi wa 4 kipindi natoka zangu job nimechoka kinoma niko ndani ya bus, si nikakutana na sister mmoja mrembo kinoma, mtu wa Ivory Coast huko.
Nilikuwa naingia ndani ya bus nikaona anatabasamu baada ya kuniona, mimi nikafikiri labda kuna mtu yupo nyuma yangu huko. Nikaenda kukaa karibu naye pale tukaanza kuongea kama kawaida. Mwisho nikajaribu kumuomba namba ya simu akanipa bila tatizo lolote. Nikaona mmm, mbona hivi jamani?
Baada ya siku kadhaa siku moja akanitumia sms kuwa ananipenda, nilishangaa nikawa najiuliza huu mtego au kuna kitu huyu sister anataka kutoka kwangu, mbona haraka haraka hivi. Nikapotezea, kwanza nikawa kama sioni sms zake, akaendelea kutuma sms.
Siku moja nikamwambia nataka tukutane kwangu, akajibu hakuna tatizo. Tulikutana, nikapiga mambo yangu. Baada ya hapo ikawa sasa kawaida yangu kuchukuwa point 3 na niko tayari kumuoa kabisa.
Sasa tatizo linakuja wapi, familia hawataki mimi kuoa mwanamke ambaye siyo wa kabila langu! Kwahiyo wananipiga vita kinoma kuhusu huyu mrembo.
Sent using Jamii Forums mobile app