Zion Daughter umeulila
Ni mawazo mazuri sana. Natamani kama watu wengi wangesoma na kuchangia mada kama hizi.
nimekuelewa na nimelewa!
Kosa kubwa maishani ni kukata tamaa. Never give up in your entire life.
Kwani yule ameweza ana nini nami nishindwe sina nini?
Remember even baobab tree was first grown up like other tree.
The biggest man you ever see, once was just a baby.
Kumbe neno pia linapanda Nicas Mtei?
nice topic...... itatusaidia sana kutokukata tamaa
sawa kabisahahaha. Nipo kote kote. Si unajua kuwa kukata tamaa ni dhambi?
Inatia sana moyo, shukrani za dhati mkuu Nicas..!!
Hebu ngoja niulize,mwanadamu ameletwa duniani kufanya nini?
'
Nasubiri majibu!
ameeeen baba mchungaji.lakini kwa kawaida inasemekana ingoje ahadi yako ukisubiri sana ukaona haiji ,iba ,kaba ufikie matarajio yako ukipata uzeeni wakati ujanani ukiwa na nguvu hukupata yanini sasa ,heheheheheeheheeheheh dalaliiiiiiiiiiiiii
hoja yako hyo inaegama kwenye dhana ya kutokata tamaa.ameeeen baba mchungaji.lakini kwa kawaida inasemekana ingoje ahadi yako ukisubiri sana ukaona haiji ,iba ,kaba ufikie matarajio yako ukipata uzeeni wakati ujanani ukiwa na nguvu hukupata yanini sasa ,heheheheheeheheeheheh dalaliiiiiiiiiiiiii
Nicas Mtei Mkuu nashukuru kwa kunitag most of your posts, ninazisoma na kuokota vitu vingi sana humo.
Hivi sasa naishi vyema na mwenza wangu na yale mapungufu niliyoyaona awali nimekuwa nayafanyia kazi na kufikia eneo la kusema sasa tunakwenda si vibaya.
Sikati tamaa mkuu
Thanks mkuu Nicas Mtei.