Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,204
- 99,943
- Thread starter
- #61
Huo ndio ukweli kabisa, tuna watu wengine wengi nyuma yetu wanatutegemea.Hayo maneno ya usikate tamaa kunamtu anakutegemea kila siku huwa yanaishi kichwani mwangu kuna mtu aliniambia kuwa nikifanikiwa mm kuna watu pia wamefanikiwa bila mm kufanikiwa basi nawao hawata fanikiwa mlango wao wamafanikio mm ndio ninafunguo yao š¢