Usikate Tamaa kuna Mtu anakutegemea

Usikate Tamaa kuna Mtu anakutegemea

kama umeniandikia mimi kila kitu kimesimama kazi imepotea na, ndugu, marafiki na familia wamepotea sioni feature yoyote nipo km sipo sehemu pekee nilipobakiwa nako ni humu jf ..GOD help me.
Mpwa, we all have our good and bad times! Mwezi kama huu miaka miwili iliyopita nilimpoteza Mama yangu kipenzi, nilihisi dunia imesimama! nilishindwa lakini nikutie moyo, simama!

Kama hutojali tunaweza kuongea hapa au hata inbox. Tusaidiane mawazo, tutaine moyo, leo ni kwako, kesho ni kwangu, nani aijuaye kesho yake??

 
kama umeniandikia mimi kila kitu kimesimama kazi imepotea na, ndugu, marafiki na familia wamepotea sioni feature yoyote nipo km sipo sehemu pekee nilipobakiwa nako ni humu jf ..GOD help me.

Haupo peke yako mkuu....
Ni katika point kama hiyo katika maisha ndipo unajua kuwa watu wengi wapo interested na kitu unachoweza kuwafanyia na si wewe kama wewe

Watu wanakuona kama object ya kuitumia, kama sehemu ya kuvuna .. not a human at all

Katika point kama hiyo utajua kuwa utakuwa na umuhimu kwa watu lakini si kila muda na wala hakuna atakaeyastopisha maisha yake kwa ajili yako bila kutegemea kitu in return.. not even your family

hivyo, kujifunza kuweka interest zako mbele is a must na sio option maana hakuna atakaekuthamini kuliko interest zake.. sometimes not even your mother

Ni katika hii time ya kujua nguvu yako halisi ya kustahimili na kuinuka.. so long as yo still breathing, you have a chance to get anything which falls within your capacity, never give up na Mungu akupe wepesi mkuu
 
Ni katika hii time ya kujua nguvu yako halisi ya kustahimili na kuinuka.. so long as yo still breathing, you have a chance to get anything which falls within your capacity, never give up na Mungu akupe wepesi mkuu
Naam, kweli tupu, kila mtu ana nguvu fulani ndani yake.
 
Ukiishi nchi za Wazungu utajiona worthless sababu ya ubaguzi. Hupati kazi ya maana licha ya kuwa na elimu ya juu uliosomea hukohuko. Siku zote utajiona wewe ni mtu wa chini kabisa katika jamii, sababu self-image yako imekuwa duni
 
Asante kwa bandiko zuri always nasema jamiiforum itabaki Kua ni kimbilio pekee nikipitia matatizo.


Nilkua nasikia watu wanasema sina hata shilingi mia! Nilikua najua ni masikhara. Duh kumbe hii hali hipo aisee? (Usicheke), Haya maisha bana ni basi tu..
hata ukisali saana hata uombe vipi sielewi haya maisha yakoje.

Haya maisha hayako fair hata kidogo. Unaweza kusali saaana hata usifanikiwe na mwingine ambaye hana time na Mungu akafanikiwa. Mfano mdogo, nimemaliza form six 2017 nikaenda Jkt kwa mujibu wenzangu walibakizwa (waliokua kambi zingine kambi yetu hawakuchukua) ndio hivyo sasahivi wengine wapo Russia, egpty n.k wengine wana nyota sasa. Japo nilifight kuipata hiyo nafasi nikaishia kufukuzwa tu pale lugalo(sitasahau), lakini kwenye biblia nafundishwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila jambo. Pia tunafundishwa ya kwamba Mungu anampa kila mtu kwa wakati wake hila sioni future kabisa..

Wakuu Nipo nyumbani sasa baada ya vyuo kufungwa na aijulikani tunafungua lini(kutokana na hili janga la Corona) mwenye kazi yoyote hile anisaidie nitaifanya niingize hata buku mbili kwa Siku, popote tu hata walioko machimboni,ziwani wanipe direction tu mimi nije.
professional yangu Mimi ni Mwalimu wa physics na mathematics pia naweza fundisha masomo yote ya science (biology and chemistry).

so kwa mda huu watoto wako wakiwa nyumbani wasikae kizembe naweza fika popote pale nikawafundisha wakiwa nyumbani! (Napatikana mwanza). Nisaidieni wakuu maana nadaiwa kodi na mwenye nyumba (huko Chuo nimepanga).

Asanteni!!!
Pole sana, wewe ni mshindi! Watajiokeza na mimi nikisikia mahali nitakuita, ukiwa Dar jaribu kucheki na Mkuu Mshana Jr kama atakua na sehemu ya vibarua pale ukafanye kwa muda.
 
kama umeniandikia mimi kila kitu kimesimama kazi imepotea na, ndugu, marafiki na familia wamepotea sioni feature yoyote nipo km sipo sehemu pekee nilipobakiwa nako ni humu jf ..GOD help me.
Na mimi nikiwa jirani yako. Naamini hata hili litapita japo mbele giza na kibaya zaidi hata nyuma nilikotoka sikuoni tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom