Tupo pamoja mkuu bado tunasukuma gurudumu.#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.
-Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa.
-Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini. Wakisahau hata bible imesema usioe 1 Wak 7
-Wapo wanaodhani tunakataa ndoa sababu hatuna hela, wasijue kuwa na hela sio kigezo cha kuoa eg. CR7, Na simbalamasimba dangote.
Na wengineo wengi. Niwatoe tu hayo mawazo, hizo zote ni myths tu.
Kataa ndoa ni misimamo na maamuzi kabambe yasiyotetereshwa kwa namna yoyote as long as unaelewa kuwa ndoa ni utapeli.
Kataa ndoa haiwahusu mliokwisha kuoa na kuolewa kisha wakaachana, nyie muanzishe tu chama chenu.
Rais wa kataa ndoa popote ulipo nawasilisha
Itaendelea...
Cc: Intelligent businessman | komasava | Mallerina et al
Kidumu ✊🏿Pamoja sana kiongozi kidumu chama chetu.
Bloh kwahiyo kiufupi wanachama tunaanza kuyaishi maisha ya kimbinguniKidumu zaidi
Hata mbinguni hakutakua na kuoa maana ni utapeli.
Mpaka najisikia raha , na nasemajee na mpaka wathemee hatuoimapema sana amini kwamba
Kwanini upo kataa ndoahio kwaio ni yako sijaisema
Uasherati mkubwa unafanywa na WANANDOA.Kwahio nyie wote mnapenda uasherati?!!!!
Ndoa zimetengeneza machizi wengi sanaa.Huku ni kuchanganyikiwa
Hebu ngoja kwanza, hizo ""sifa za kuoa na kuolewa ni zipi??""Hawa wanaotetea huu ujuha na uzwazwa wameishiwa sifa za kuoa au kuolewa. Ni sizitaki hizi mbichi mwanangu.
Asante ndugu mkasirikaji ila MASHOGA na WASAGI kwenye ndoa wamejaaa kibaooo.Wengi ya wanachama wa hiki Chama Marinda yao yapo Matatani
Sahihi kabisa, na kila niki ufikiria napata hasiraKuna mdau aliwahi kuandika humu kuwa mchakato mzima wa ndoa kuanzia kutongoza, uchumba, kutoa mahari hadi kufunga ndoa hiyo process nzima imekaa kitapeli tapeli tu na unafiki mwingi.
Kuna tafiti ilifanya mwaka jana ikabaini kuwa ""Ndoa zimetengeneza machizj wengi sanaa""Kataa Ndoa ni Jamii ya vijana wa hovyo na wasio na akili pia.
Nakazia.Kataa Ndoa
Mara nyingi utapeli hutetewa...mpaka kenge atoke damu ndio anasikia.
Kwani huwezi kutoa hoja zako bila matusi?, au una dhani kila mmoja ni Kama wewe .?Wengi ya wanachama wa hiki Chama Marinda yao yapo Matatani
Mazombi ni wenye ndoa, na sababu ninazo, ukirudi ukanipa zako na mimi NITAKUPA ZANGU.Sijaona watu wapumbavu kama Wazee wa Kataa Ndoa ,yapo kama Mazombi yanahitaji muongozo na kusafishwa bongo zao kwa msafisho safi kabisa.
Experience is so simple in obtaining.Kwanini upo kataa ndoa
Any experience you have?!!!!!