akaunti yako ilikuwa inaonesha banned, au uliweka mwenyewe hiyo picha niliyoiona siku hiyo?Mi nimepigwa ban??? Lini??
Kama amepigwa ban mbona umemuona,,, pole ya nn sasammmmmh! mzee sijawahi kukuona umepigwa BAN!!! pole sana. duuuuuu!!
Hapa yenyewe upo kwenye ban lol!!!Mi nimepigwa ban??? Lini??
🙁🙁🙁Kama amepigwa ban mbona umemuona,,, pole ya nn sasa
Hapa yenyewe upo kwenye ban lol!!!
Kumbe na wewe bado mgeni JF? Nisamehe lakini. Kumbe ndo maana ukaogopa kuniPM?akaunti yako ilikuwa inaonesha banned, au uliweka mwenyewe hiyo picha niliyoiona siku hiyo?
ehe! ile alama ya banned kwenye a/c yako kumbe ilikuwa fake!! sikujua bwana.Kumbe na wewe bado mgeni JF? Nisamehe lakini. Kumbe ndo maana ukaogopa kuniPM?