Dee Mallz
Member
- Jan 19, 2017
- 30
- 22
HAPPY VALENTINE DAY Leo sasa kama hujawekwa profile picture usipaniki kunywa maji mengi nenda kukojoa
ukikuta no call wala text kunywa maji mengi kakojoe
UKIZIMIWA CM KAMA MIMI usipaniki kunywa maji mengi kakojoe
ukimfumania leo mpenzio sepa usigombane nae kunywa maji mengi kakojoe 
maji yanasaidia kupunguza hasira kumbuka kuna maisha baada ya Leo. Japo mimi roho inaniuma kuzimiwa cm mapema toka asubuhi 

HAPPY VALENTINE DAY