Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,695
Reaction score
13,324
Nimeyatimba nimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo

Kwa siku inaweza Kula umeme hata wa sh 5000 yani inaweza Meza unit 15 per day

Ushauri Wangu ni kwamba kama Una Hela ya kuunga unga usinunue ac utaacha imezimika sio mchezo ile ni jini umeme

Kama ntakuwa labda kuna tatizo masi mafundi mnieleweshe
 
Kwa kipindi Cha joto kama hili la December 5000 kitugani! Hakikisha chumba Kiko tight madirisha ya vioo, weka na pazia nzito, mlango vilevile usiwe na uwazi mkubwa chini. Pia usiweke baridi kama la Mufindi.
 
Nimeyatimba nimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo

Kwa siku inaweza Kula umeme hata wa sh 5000 yani inaweza Meza unit 15 per day
Mkuu bora umenichana mapema, nilikuwa nafikiria kipindi cha kiangazi kikianza nikanunue AC Dual inverter kulikabili joto linalokuwa huku ninapoishi, kumbe nitakuwa nimejiroga. Ipi nafuu sasa?
Alafu nimesikia kuna mobile AC's yaani ukitaka kuihamishia sitting room au bed room zipo. Ushapata details zake mkuu?
 
Mpya ndio sema walifunga tablizer kwa nyuma nahisi ndio inanyonya umeme nashangaa sana
AC za sasa hivi zinazima automatic na kujiwasha muda fulani joto uliloset likiwa limefikiwa ni kama fridge tuu sema mimi nawaamini sana LG/Sumsung huko kwingine mimi ni mgeni kidogo...wasingeweka kwenye Lodge hizi kama gharama ni hiyo mkuu fanya waje wataqlamu wakurekebishie..
 
Back
Top Bottom