Usijifunue....!

Jamani me ni introvert daah inatesa mno hali I wish to change bt I can't

Sometimes nakua n.a. maumivu moyon natamani kufunguka kwa mtu lkn siwezi kila mtu naona km hawezi nipajibu la maana

Ukisikia wafa na. tai shingoni ndo mimi
 
Kuna watu wanajifanya wapo Nyuma Yetu, Lakini ukweli ni kwamba ukigeuka unajikuta upo pekee yako!
The Baddest Enemies of your Life is Your True Friends!
Imeshanitokea tena 2017, Niliyemwamini mpaka wazazi wake nawafahamu na ndugu zake, But what he did Nimemwachia Mungu. But Marafiki wanatupa nafasi tuzitumie lakini tukianza kuzitumia wanatugeuka but it is ok! We are still on the same planet
 
Mi introvent ila ni mcheshi na muongeaji kwa watu ninaowajua.

Huwa ni pretender mzuri Sana. Huwezijua nikiwa nimekasirika kwani muda wote ninatabasamu. Ninaweza kufurahi hata kama umeniudhi.

Naongozwa na falsafa yangu hii
" KUMUAMINI MTU NI KUJISALITI MWENYEWE"
 
Nina tabia ya kutomuamini mtu yeyote yule ndio maana hata majina ya kazini kwangu mke wangu hayajui hata ninapofanyia kazi hapajui
 
Ningependa sana niskie kilichokukuta ili somo liingie vizuri maana umeniacha hewani
 
Mimi kuna kipindi nilikuwa katika msongo sana,akawa amekuja mgeni home(mgeni tu kwa mazingira)but tulikuwa tunafahamiana kabla na tuna nasaba kwa mbali.

Basi baada ya kukaa kwa muda mrefu kidogo akaanza kunishirikisha mambo yake ambayo yalikuwa mazito kuyatatua,kuyapima ni kama yalivyo ya kwangu,basi kwenye kushirikishana mawazo,nikawa nampigia mfano kutoka kwangu kuonyesha kuwa kwenye shida zake si yeye peke yake...

Loooooooo....mwanamke shetani yule aliyekuja kama malaika,simsamehi ng'oooooooo!
Alinitangaza vibaya yule,ila wote aliowaambia walikuja kuniuliza wenyewe 'cause wananifahamu,wakasema haiwezekani,ilibidi kufanyike kikao akaulizwa juu ya yale maneno aliyosema,akaanza kulia na kujiapiza kuwa hajasema,ilikuwa ndio tiketi ya kuondoka kwangu mpaka leo..
Nikaambiwa kwenye huo ukoo anaotokea ndio tabia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…