Na itakuwa hivyo. Uzi huu just bookmark it for reference!Usije ukashangaa wakati kambi ya upinzani bungeni wanawasilisha bajeti yao jumatatu,ndugai akazima bunge live
Waacheni wananchi wasikie watachambua upi mchele,na ipi pumbaTatizo hotuba zao huwa hazizungumzii bajeti bali matukio na mivurugano ya kisiasa. Sisi tunataka kusikia habari za mapendekezo mbadala ya kibajeti sio malalamiko ya matukio ya kisiasa.
Ktk kipindi ambacho nimezidi kuwadharau wana ccm ni juzi walivyosimama kupiga makelele, nimewadharau sanaWakituwekea Hotuba yao tutaisoma tu.Bungeni kwa sasa Ni Mkutano mkuu wa CCM
Mkuu wewe ni mgeni? Karibu TZ. Endelea kufuatilia utajua tu, maana inaonekana umekaa nje ya nchi muda mrefu hivyo hujui kinachoendelea ndani ya bunge letu.Hivi kuna bajeti ngapi zinazojadiliwa bungeni ? Upinzani wanawakilisha bajeti ipi ? bajeti si ni moja tu inajadiliwa na bunge lote na kupitishwa baada ya mjadala ?
Alafu mnasema kuna Bashite mmoja tu TanzaniaHivi kuna bajeti ngapi zinazojadiliwa bungeni ? Upinzani wanawakilisha bajeti ipi ? bajeti si ni moja tu inajadiliwa na bunge lote na kupitishwa baada ya mjadala ?
Alafu mnasema kuna Bashite mmoja tu Tanzania
hakuna uwasilishaji wa budget mbadala tena mjadala uliobaki ni mjadala wa budget kuu ya serikali 2017/2018 na kuipitishaUsije ukashangaa wakati kambi ya upinzani bungeni wanawasilisha bajeti yao jumatatu,ndugai akazima bunge live
Tatizo lenu ndo hilo mnataka watu wote wafikiri kama nyie.Tatizo hotuba zao huwa hazizungumzii bajeti bali matukio na mivurugano ya kisiasa. Sisi tunataka kusikia habari za mapendekezo mbadala ya kibajeti sio malalamiko ya matukio ya kisiasa.