Usije ukashangaa wakati kambi ya upinzani wanawasilisha hotuba yao bunge likazimwa

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Usije ukashangaa wakati kambi ya upinzani bungeni wanawasilisha bajeti yao jumatatu,ndugai akazima bunge live
 
Hivi kuna bajeti ngapi zinazojadiliwa bungeni ? Upinzani wanawakilisha bajeti ipi ? bajeti si ni moja tu inajadiliwa na bunge lote na kupitishwa baada ya mjadala ?
 
Hata wakizima tumezoea, maccm ndiyo yalivyo
Wabunge wa ccm wanapenda sana live,tatizo wanazidiwa hoja na wabunge wa kambi ya upinzani,wanaona aibu wanazima bunge,lkn wakiwa na kitu kinachovutia kwao,wanaruka live kama kawaida yao
 
Tatizo hotuba zao huwa hazizungumzii bajeti bali matukio na mivurugano ya kisiasa. Sisi tunataka kusikia habari za mapendekezo mbadala ya kibajeti sio malalamiko ya matukio ya kisiasa.
 
Waacheni wananchi wasikie watachambua upi mchele,na ipi pumba
 
Hivi kuna bajeti ngapi zinazojadiliwa bungeni ? Upinzani wanawakilisha bajeti ipi ? bajeti si ni moja tu inajadiliwa na bunge lote na kupitishwa baada ya mjadala ?
Mkuu wewe ni mgeni? Karibu TZ. Endelea kufuatilia utajua tu, maana inaonekana umekaa nje ya nchi muda mrefu hivyo hujui kinachoendelea ndani ya bunge letu.
 
Nanukuu mzee wa kumsha dude alisema sasa hivi lazima tuwakemee kina mabashite,maana mabashite yanazidi kuongezeka kila kikikucha
 
Usije ukashangaa wakati kambi ya upinzani bungeni wanawasilisha bajeti yao jumatatu,ndugai akazima bunge live
hakuna uwasilishaji wa budget mbadala tena mjadala uliobaki ni mjadala wa budget kuu ya serikali 2017/2018 na kuipitisha
 
Tatizo hotuba zao huwa hazizungumzii bajeti bali matukio na mivurugano ya kisiasa. Sisi tunataka kusikia habari za mapendekezo mbadala ya kibajeti sio malalamiko ya matukio ya kisiasa.
Tatizo lenu ndo hilo mnataka watu wote wafikiri kama nyie.
 
Back
Top Bottom