Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
nahisi mimi nimekuelewa sana japo wanakupiga madongo...
Sawa lakini si kweli mtegemewa anaweza kuwa yeyote katika familia usisahau hilo.
Owa last born au last born ndo nn
Hata uone middle kuombwa msaada kawaida
Hizo ni ngekewa..uwezi kukesha macho ukisubiri.Usiwe na Imani ya hivyo aisee kuna muda mafanikio huja tu, yani kila unalo gusa linaenda.
🤔 Inatafakarisha.Umasikini mbaya sana, hata fikra zinakuwa zina uelekeo huo huo.
neno kuntu.Usiwe na Imani ya hivyo aisee kuna muda mafanikio huja tu, yani kila unalo gusa linaenda.
Bado hujajua utafutaji mkuu, unaweza ukawa unapambana lakini hufanikiwi ila kuna muda ukifika mambo yananyooka simple,Hizo ni ngekewa..uwezi kukesha macho ukisubiri.
Hizo ni iman mkuu...jitumeBado hujajua utafutaji mkuu, unaweza ukawa unapambana lakini hufanikiwi ila kuna muda ukifika mambo yananyooka simple,
Usiku wewe umepewa kimtaji au kiduka cha urithi na kinyumba una maisha umwyapatia
Walio anza zero to hero ndio watanielewa.