Usije sema hujaambiwa

Usije sema hujaambiwa

Nimeipenda hiyo...maana kama hujui kussoma basi Picha utaiona tu...hapo Katekista lazima ageuke Mbogo tu
 
safi sana! parokia na makanisa mengine waige,tunategwa sana makanisani na wadada hadi concentration kwa padri inapungua.
 
hahahaaaa ukileta sadaka ndogo ..utafunguliwa kidogo...panda mbegu utajirike...lol
Hayo ya kupanda mbegu, hayanaga restrictions waumini wakipungua mbona noma. As long as wewe ni mpandaji mzuri hata uvae nini first row seat unapata.
 
safi sana namna hii hata maadili mema kwa jamii inaweza rejea sasa
 
FaizaFoxy anachekelea mno kuleta hii post ya picha!Ukijibu hii comment nitaconfirm!
 
Last edited by a moderator:
AON nayo ni picha ya kutisha.!?
au kwa kuwa ni Mashetani Wekundu?
 
Back
Top Bottom